Serikali kuifutia leseni kampuni ya simu ya Manji

Serikali kuifutia leseni kampuni ya simu ya Manji

Nionavyo mimi apo kuna ajira nyingi sana zitapotea kama kuna makosa Kampun ambayo kwa jina inaitwa (My Cell)kama skosei. .. ipigwe faini ata kama ni kubwa kama tunavyofanya kwenye migodi ili maisha yaendelee tusije tukazalisha vibaka atakayeumia zaidi si Manji ila ni wafanyakazi..Manji atakua na pesa nyingi tu nje za Family group ambazo ksheria mtu hawez kuztreat kama za kwake ila ni za kwake kwa upande mwingine. ..

rejea ICC walipohoji utajiri wa Uhuru Kenyata jibu likawa kua zile si mali za Uhuru bali ni za Kenyata/Mama Ngina family property ambapo kisheria family Group of company si mali ya mtu japo kiualisia anakua na maslahi makubwa ndani yake. .wataalam wetu waliangalie ili suala kwa jicho la tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TIGO kampung inayomilikiwa na Yusuph Manji imefutiwa learning ya buashara kwa majibu wa gazeti la mwananchi
Sky.... hebu edit habari yako.... alafu haijafutiwa bali inasemekana inaweza kufutiwa
Then ni jambo lisilowezekana kirahisi kuifungia tigo cz imeajiri maelfu na inaiingizia serikali kodi kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi lile Dua baya aliloombewa manji na Waislam ndio matokeo yake haya? Duh ni laana mbaya inamkamua hadi aseme po
 
Back
Top Bottom