Serikali kuifutia leseni kampuni ya simu ya Manji

Serikali kuifutia leseni kampuni ya simu ya Manji

Eti waislamu.... amuombe radhi magufuli kwani waislamu ndo wenye hii nchi au ndo wenye serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
Huelewi kitu wewe ! ...huyo ndo kamtesa sana Sheikh Ponda. Baada ya kuendelea na kiburi chake dhidi ya mali za Waislam, Mwenyezi Mungu anasema duwa / maombi ya aliyedhulumiwa haina pazia
 
Awaombe radhi waislamu waliomuombea dua mbaya kama vile watu Wa Kibaha na Mvomero walivyomuombea dua mbaya Sumaye. Mrema yeye ilibidi awaombe radhi, angalau rasha rasha imemfikia.
Chezea 'kunuti wewe !'
 
Huyu mtu yusuf Manji kama kweli anajielewa aombe RADHI kwa waislam DUA walizo zisoma kwa huyu MTU hazina Hesabu .....aliitumia INFLUENCE yake hapo awali maan alikuwa untouchable.

Kwa kuwarubuni watu wa BAKWATA walio kuwa na NJAA na kukichukua KIWANJA cha Chang'ombe ambacho kili kuwa MALI ya WAISLAM kwa ajili ya kujenga UNIVERSITY kwa ajili ya Watoto wa kiislam ambayo ELIMU hiyo ingewasaidia ktk maisha yao ....mmungu huwalipa BINAADAMA kwa STYLE nyingi tu.

Zimwi likujualo......
 
Mwaka huu balaa analo atakoma kumpinga mjomba
Hawa ndio wale Nyerere aliwachukia akina Askofu Makarious wanao dai serikali wameitia mfukoni. Kafanya dili nyingi sana kuipiga serikali, chama cha mapinduzi pamoja na manispaa mbali mbali
 
TCRA inakusudia kufuta leseni ya Kampuni ya Mycell inayomilikiwa na QGL ambayo imekuwa ikiongozwa na Manji kwa kukiuka masharti ya leseni.
 
Nyepesi nyepesi ni kuwa kuna kigogo anataka kujimilikisha Kampuni hiyo
Hata yeye kuipata hii kampuni kuna ujanja ujanja ulitembea hapo katikati, na kuna some taxes/fees pia alikwepa.
 
TIGO kampuni inayomilikiwa na Yusuph Manji imefutiwa leseni ya biashara kwa majibu wa gazeti la mwananchi
Kwahiyo mama, wanaanza kufunga lini? ili nitoe hela kabisa kwenye tigo pesa. isije ikafia humo. Duh! huyu jamaa wameamua kumfirisi sasa. Ila malipo ni hapa hapa dunia
 
TIGO kampuni inayomilikiwa na Yusuph Manji imefutiwa leseni ya biashara kwa majibu wa gazeti la mwananchi
umesoma gazeti hilihili tuliowekewa huku au lipi?
manji amiliki tigo anahisa na wenye kampuni ya tigo tena hyo kampuni sio ya nchi...so tigo itaendelea kuwepo tuuuuu
 
Back
Top Bottom