MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,475
Huna lolote unalo lifahamu zaidi ya kuwa kibenderaKina Bill Gates wangefanyiwa hivi na serikali zao hii misaada wanayotupa tungeipata wapi?
Watakaopoteza ajira wakale wapi?
Anyway,madaraka yana mwisho.
Hujui jana ulisema lipi
leo uongee lipi!!
Mnahitaji huruma siyo bure
mlicho kipinga jana leo hamkijui!!