hahaha nimechanganya mafaili, hahahahhahahahah. hahahahhahahahahahahahahahaaha
hahaha nimechanganya mafaili, hahahahhahahahah. hahahahhahahahahahahahahahaaha
Hii kauli ndio inayo mtafuna Manji
atakuwa ni yule mwenye vita zisizo na kichwa wala miguu, ambaye najua ana mchango mkubwa sana kwenye kumuua Manji ila what goes around comes around................... kuna maisha baada ya hayaNyepesi nyepesi ni kuwa kuna kigogo anataka kujimilikisha Kampuni hiyo
ogopa zaidi waliomuweka madarakani...Ogopa sana kuongozwa na mtu mwenye umasikini wa mawazo
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Alikwambia nani sababu hizo 'mbili ndogo ' (kwao) zina nguvu kuliko kisasi?Sky.... hebu edit habari yako.... alafu haijafutiwa bali inasemekana inaweza kufutiwa
Then ni jambo lisilowezekana kirahisi kuifungia tigo cz imeajiri maelfu na inaiingizia serikali kodi kubwa
Dah .Nyepesi nyepesi ni kuwa kuna kigogo anataka kujimilikisha Kampuni hiyo
Manji anamiliki hisa 99% so kwa maneno mengine ndo mmiliki kwa TanzaniaNi kweli manji ndie mmiliki wa tigo au ni msimamizi mkuu wa tigo cz tigo imesambaa nchi nyingi na hapa tz ni kama tawi tu la tigo
Hili swala sio la kufurahia,huu ni upumbavu wa kupora mali za watu walizotafta kwa miaka mingi kisa umepewa madaraka
Tueleweshe kivipi ni mwizimanji ni mwizi sana huyu ni wa kuchapa fimboooooo kabisa na akae jela maisha
Dua gani hilo na kwa niniHivi lile Dua baya aliloombewa manji na Waislam ndio matokeo yake haya? Duh ni laana mbaya inamkamua hadi aseme po
Pesa za bill gates alizipata kwa halali lakini manji utajili wake umekua na kashfa nyingi za ufisadi(eg nssf) na dhuluma.Kina Bill Gates wangefanyiwa hivi na serikali zao hii misaada wanayotupa tungeipata wapi?
Watakaopoteza ajira wakale wapi?
Anyway,madaraka yana mwisho.
Nadhani huyu kasahau ule msemo wa wahenga kuwa " Dua la kuku .................Hamna cha dua wala nini...!!? Hii ni vita ya wao kwa wao tu hapa,.magufuli akiamua kumpotezea yaishe yanaisha wala sio sababu ya msingi eti dua tajiri unamuombea dua heheheh
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisikia dhurma ya kiwanja alikichukua akawalipa wasiohusika na kesi akashinda kiujanja janja wakamsihi sana arejeshe akagoma wakampa ukweli akaujua lakini akakomaa.. akaombewa Dua baya akaona poa halimfanyi kitu kumbe huwa Dua mbaya zinatabia tofauti inaweza ikawa wakati huo huo au baadae kukupata au unapozidisha maovu ndio inachanganya kama nowDua gani hilo na kwa nini
manji awaombe msamaha waislamu la sivyo atakuwa apache alolo