LATRA kuikomoa TRA, BOT, NSSF na Mawakili, Uniform mpya kushusha hadhi ya watumishi wa Serikali.

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,411
MWENGE BASI.png

LATRA.jpeg

Serikali kupitia mikopo kwa Wachina na Benki ya Dunia imefanikiwa kukamilisha ujenzi wa Stendi ya Mwenge, ambayo fununu zinasema kwenye ufunguzi imeshapangiwa jina la kada fulani wa Chama cha kijani ambaye mwaka 2015 alitimukia Upinzani na baadae kurejea na kwa sasa kada huyo ni mgonjwa na amelazwa hospitali aliyokuwa amelazwa yule mzee kipindi cha korona alitolewa wodini kuaminisha umma haumwi.

Wadau wengi wamesikitisha na sare hiyo ya Shati la dark blue na suruali nyeusi ya kitambaa , ambayo ni ya heshma na inavaliwa na ta-asisi kubwa na nyeti kama BOT, BRELA, FIU, Mawakili , Majaji, TRA sasa sasa wanawapa Wapiga debe na Madereva.

Uniform hizi zimefanywa maksudi kwakuwa inasemekana mkandaraso huyu na watu wa LATRA wanapingana sana na serikali kwenye mambo kadhaa hasa kwenye ujenzi wa mradi huo ambapo kilichojengwa si ule mchoro wa kwanza , hii imetokana na upigaji mkubwa na kila mtu kuanzia mayor , wakurugenzi na waziri kuja na kutaka matakwa yake ndio yafuatwe.
Lakini pia hata baada ya stendi kukamilika , ugawaji wa vyumba umefanyika kimafia[tender wakati online hamna kitu] na hivyo kampuni moja kubwa inayodhamini timu ya soka pale kariakoo imechukua karibu nusu ya maduka na mawaziri kuchujulia watoto na wake zao maduka.

Hivyo basi , baada ya uzinduzi na kuazna kutumika rasmi, tutegemee wamachinga wengi kuzunguka stendi hii ya Lowassa [formely Mwenge Stend] kwakuwa hawatakuwa na sehemu ya kuuzia.
Wakati huo huo wenye nnyumba Makumbusho baada ya kukalia kuti kavu , hasa kubadii nyumba zao kutoka makazi na kuwa biashara sasa wameanza kuomba kuzirudisha kuwa za makazi na wafanya biashara wengi wameanza kuonyehs ania ya kutoendela na mikataba.

Ujenzi umegharimu Tsh. bilioni 10.067 na fedha hizo zimetokana na mapato ya ndani ya Halmashauri ya Kinondoni na Mkandarasi aliyejenga ni Heinan International LTD kutoka China.Kwa mujibu wa taarifa ya Viongozi wa Halmashauri ya Kinondoni, fremu zote za biashara katika stendi hii zimepangishwa kupitia mnada ambao ulifanyika kwa mfumo wa TAUSI TAMISEMI kuanzia October 18-26, 2023 kwa njia ya mtandao.Stendi ina uwezo wa kuchukua mabasi 100, bajaji 20 na pikipiki 40 kwa mara moja na ina vibanda vya kupumzikia abiria 27.
 
Stendi inaonekana imeshakamilika ajabu sijui kitu gani kinawazuia kuanza kuitumia.

Hapo kwenye fremu lazima hizo vurugu ziwepo, hata jamaa wa kule kwenye vizimba masokoni huwa wanapitia haya majanga, kwa hapo Mwenge na unyeti wa hilo eneo kibiashara lazima hali iwe mbaya zaidi, kubebana hakukwepeki.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Siku nikipenya kwenye nafasi za serikali mjiandae kua machawa wangu kwa sababu nitafanya ufisadi ambao haujawahi kufanywa hapa nchini na kizuri zaidi hata ukikwapua mabilioni au matrioni mangapi hushikwi Wala hufungwi
 
Uchafu na matunzo ya hizo uniforms ndio utatofautisha nani ni konda/ dereva na nani anafanya kazi hizo taasisi zingine.

BoT waluacha kuvaa mashati meupe?
 
View attachment 2847696

View attachment 2847693

Serikali kupitia mikopo kwa Wachina na Benki ya Dunia imefanikiwa kukamilisha ujenzi wa Stendi ya Mwenge, ambayo fununu zinasema kwenye ufunguzi imeshapangiwa jina la kada fulani wa Chama cha kijani ambaye mwaka 2015 alitimukia Upinzani na baadae kurejea na kwa sasa kada huyo ni mgonjwa na amelazwa hospitali aliyokuwa amelazwa yule mzee kipindi cha korona alitolewa wodini kuaminisha umma haumwi.

Wadau wengi wamesikitisha na sare hiyo ya Shati la dark blue na suruali nyeusi ya kitambaa , ambayo ni ya heshma na inavaliwa na ta-asisi kubwa na nyeti kama BOT, BRELA, FIU, Mawakili , Majaji, TRA sasa sasa wanawapa Wapiga debe na Madereva.

Uniform hizi zimefanywa maksudi kwakuwa inasemekana mkandaraso huyu na watu wa LATRA wanapingana sana na serikali kwenye mambo kadhaa hasa kwenye ujenzi wa mradi huo ambapo kilichojengwa si ule mchoro wa kwanza , hii imetokana na upigaji mkubwa na kila mtu kuanzia mayor , wakurugenzi na waziri kuja na kutaka matakwa yake ndio yafuatwe.
Lakini pia hata baada ya stendi kukamilika , ugawaji wa vyumba umefanyika kimafia[tender wakati online hamna kitu] na hivyo kampuni moja kubwa inayodhamini timu ya soka pale kariakoo imechukua karibu nusu ya maduka na mawaziri kuchujulia watoto na wake zao maduka.

Hivyo basi , baada ya uzinduzi na kuazna kutumika rasmi, tutegemee wamachinga wengi kuzunguka stendi hii ya Lowassa [formely Mwenge Stend] kwakuwa hawatakuwa na sehemu ya kuuzia.
Wakati huo huo wenye nnyumba Makumbusho baada ya kukalia kuti kavu , hasa kubadii nyumba zao kutoka makazi na kuwa biashara sasa wameanza kuomba kuzirudisha kuwa za makazi na wafanya biashara wengi wameanza kuonyehs ania ya kutoendela na mikataba.

Ujenzi umegharimu Tsh. bilioni 10.067 na fedha hizo zimetokana na mapato ya ndani ya Halmashauri ya Kinondoni na Mkandarasi aliyejenga ni Heinan International LTD kutoka China.Kwa mujibu wa taarifa ya Viongozi wa Halmashauri ya Kinondoni, fremu zote za biashara katika stendi hii zimepangishwa kupitia mnada ambao ulifanyika kwa mfumo wa TAUSI TAMISEMI kuanzia October 18-26, 2023 kwa njia ya mtandao.Stendi ina uwezo wa kuchukua mabasi 100, bajaji 20 na pikipiki 40 kwa mara moja na ina vibanda vya kupumzikia abiria 27.
Abiria 27??? Halafu tusi likinitoka????
 
Sasa kwani kuna shida gani madereva na makondakta wakivaa nguo zinazofanana na waajiriwa wa hizo taasisi, kwani si ni rangi tu hizo mbona kitambo tu hao madereva na makondakta, wanavaa nguo zinazofanana rangi na polisi na magereza na wahusika hawajawahi kulalamika
 
Unataka kuwafananisha hao watu wa TRA, BOT,LATRA na mapolisi?
\Unajua hao watu wa hizo taasisi wamesoma kiasi gani>
 
Back
Top Bottom