Ubabe wa TRA, ugumu wa biashara na utitiri wa kodi; nini kifanyike?

mwanamichakato

JF-Expert Member
Mar 20, 2015
889
707
Mamlaka ya mapato Tanzania ni chombo muhimu sana ktk kuijenga nchi kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiutamaduni. TRA wana majukumu makubwa ya kukusanya mapato ili kufanikisha ulipaji wa gharama mbalimbali Za kuendesha Serikali (Matumizi,Miradi,Ulipaji madeni yanayokopwa nje na ndani).

Kimsingi sheria Za kodi za Tanzania ni photocopy ya sheria Za kodi toka ktk mataifa yaliondelea kiuchumi kama Uingereza hivyo ni sheria ngumu kwa kuzingatia utofauti wa mifumo ya kiuchumi,Elimu na uwezeshaji.

Miaka michache iliopita Wafanyabiashara,wajasiliamali na Wawekezaji walipitia kwenye ubatizo wa moto kutokana na approach Za ubabe, maguvu. Vilivyoenda sambamba na Uporaji mali,Rushwa na ukosefu wa uadirifu,Makadirio kandamizi.

Maafisa wengi wa TRA na wengine kupitia TASK FORCE walitajirika sana kupitia ukandamizaji,Unyongaji biashara,Uharamia wa kimamlaka..Ufungaji biashara,Ukwapuaji fedha kwenye akaunti za wafanyabiashara. Michakato hii ilipekekea wafanyabiashara wengi kufirisika,kufunga biashara,kujiua,Kukimbia nchi,Kuhamisha biashara na uwekezaji wao.

Mambo yamerudi yamerudi upya sasa..Maafisa kodi,Mameneja na waandamizi wamevaa koti na mavazi mapya ya Tax force. Wafanyabiashara wameanza kuishi kama digidigi, hofu, wasiwasi, huzuni na kukosa tumaini. Maafisa wamegeuka miungu watu. Mfanyabiashara anaamka anakuta EFD zimefungwa,akaunti zimezuiwa.

Kimsingi ktk makusanyo yanayofanyika,Wafanyakazi wasio waadirifu wana chukua robo na zaidi ya mapato kupitia Rushwa na mirungura. Ndio maana wengi wa watumishi ktk TRA wanaishi na kufanya uwekezaji mkubwa (Majumba, Magari, Apartments, Mitambo, Shares, Bonds, Extravagants life) kinyume na uhakisia wa vipato halali. Wengi wanafanya uwekezaji haramu na kutakatisha fedha kupitia ndugu,jamaa,marafiki kukwepa mikono ya dola na kujulikana.

Simu zinapigwa asubuhi,Mchana na jioni..akifika anapewa mkeka wa makadirio Vitisho, usumbufu, ubabe. Mwisho wa siku Rushwa, Mirungura, Vilio.

NINI KIFANYIKE
1: TRA lazima wapanue na kuongeza wigo wa walipa kodi (TRA must widen Tax base).Hili litasaidia sana kuepusha ku suffocate biashara chache zilizopo kwa kuzingatia idadi ya watu na mahitaji ya nchi sasa na baadae.

2: Wafanyakazi waongezwe, TRA is advised to recruit more staff to facilitate down top approach compliance sensitization. TRA inahitaji taaluma mtambuka kusaidia ktk kujenga mahusiano, kuelimisha, ni wakati wa kuwa na Relationship Officers, Relationship Managers, Transformations Officers, Business Advisors, Commercial Consultants. Wenye wigo wa kusaidia weredi ktk compliances badala ya kuwa wakusanya madeni kama Yono au Majembe, Adili..Court brokers..

Wafanyabiashara ni business partners/Affilliates wa nchi,TRA. Sio wezi, Majambazi, Maharamia. They deserve respect, honour, proffessional treatments. Consultative approached zitumike kudai kodi.

3: Review employee rotational strategy. Wafanyakazi wanakua aggressive kuomba na kupokea rushwa pindi wakihamishiwa kwenye vitengo vyenye fulsa dhidi ya vitengo/kanda/Mikoa mikavu.

4:SHERIA ZA KODI ZIFANYIWE MAREKEBISHO ILI KUENDANA NA UHALISIA WA BIASHARA NA MAZINGIRA YA NCHI. Mfano, VAT, PAYEE, SDL, Corporate Tax, Income Tax.

5: Corporate Tax ishushwe kufikia 20% ili kuwezesha ukuaji wa biashara,makampuni,uwekezaji.

6: Kuwe na Category rasmi za kibiashara ktk mifumo ya kodi na kodi zitofautiane. SME, Large Enterprises, Congromerates. Multinational Enterprises, Foreign State Owned Enterprises.

7: Kutokana na unyeti wa kazi ya ukusanyaji mapato na kulindima kwa vitendovya matumizi mabaya ya madaraka,Rushwa na Ufisadi kuundwe idara maaalumu ya ufuatiliaji wa maadili wa watumishi wa TRA nje ya mfumo wa TRA. Ama kuwe na vitengo ktk taasisi kama JWTZ, TAKUKURU ,DPP, etc.

8: Taratibu za kisheria (Mahakama) zifuatwe ktk utekelezaji wa maamuzi ya kufunga biashara,Kufunga Akaunti,Uchotaji fedha toka kwenye akaunti za wafanyabiashara kwa maguvu na ubabe.

9: Consultative Approach zitumike kuwajenga,Kuwasaidia na kuwainua wafanyabiashara ili kuwafanya kuwa more compliants (Voluntary)..Wakue ktk viwango vya ulipaji,waneemeke na kazi wafanyazo..Biashara sio mateso,jehanamu..

10:Misamaha ya kodi zisizolipika itolewe kusaidia kufufua biashara zinazokufa sababu ya malimbikizo makubwa ya kodi,penati na faini..Tuinue uchumi,Tukuze uchumi..

11:Tax incentives na Tax Holidays kwa SME..

12:Mikopo isio ya Lazima isikopwe na wanasiasa kuepuka mzigo mkubwa kwa walipa kodi wachache..Tukope kwenye miradi yenye tija endelevu..Sio miradi ya kisiasa..Makamishna wa kodi wawepo kwenye team za ukopaji kusaidia kutetea na kupigania uhalisia wa viwango na mizigo ya ulipaji..

13:Nguvu kubwa mnoo itumike kwenye kudhibiti upotevu wa mapato kupitia taasisi mbalimbali (CAG report).Hatua kali zichukuliwe kuwatia moyo wafanyakazi na wafanyabiashara wanao kosa usingizi kufanya biashara kwa jasho na damu ili kulipa kodi..
 
Umeongea POINT ki professional zaidi na kizarendo haswa. Lakini shida ni nani atamfunga paka KENGELE
Ikiwa NAHODHA ajali lolote CHOMBO kinaenda mlama.

Kwa uliyoyaandika kama yakitekelezeka haswa namba 7 la kuunda kitengo nje ya TRA kufatilia uadirifu wa watumishi wake.

Na namba 8 la kuhusu mahakama ni mambo ambayo muhimu sana huwezi kuchukua pesa pesa ya mtu bila kumshilikisha na kumsikiliza hii no mihimu sana mahakama ndo iwe inatoa uamuzi ili kumsadia mfanyabiashara na vile kuifanya TRA izidi kufanya mambo kiuwererdi sio maamuzi ya watu wachache yanaleta kilio kwa wengi 7bu hayo mambo tumeshiudia watu wengi wakionewa kwa mtindo huu hvyo hili jambo likiwa la kimahakama zaidi litaleta unafuu kwa mafanya biashara na litapunguza chuki maneno maneno kwa TRA na maofisa wake.

Lakini pia swala namba 9 ni kama vile TRA wanaliona haliwahusu wanachojua wao ni kudai KODI tu wakati wao wapo kujenga NCHI sasa utajengaje nchi na kupata KODI kwa wakati bila kishirikiana na kupeana mbinu mbali mbali na mfanyabiashala ili pamoja mkuze biashara na kujenga NCHI yaana TRA imekuwa ndio muuaji wa biashara badala kuwa mdau mzuri wa ushauri katika kukuza BIASHARA.

Okay but ukishapata AJIRA TRA unaona umewin maisha Kinachofuata ni upigaji kwa kwenda mbele hili ndio jambo kubwa linadhoofisha TAASISI hii kukosekana UZARENDO kwa wafanyakazi wa hii TAASISI. Na hili ni tatizo kubwa TANZANIA ukishaoata kazi Serikali basii unaona unaona mali zote ulizopewa JUKUMU kuziongoza au kusimamia unaona ni za URITHI wa babaako hvyo ni halali kujimilikisha iwe kuiba au kujikopeaha bila kufuata utaratibu.

Ndio maana katika utawala wa JPM watumishi wa UMMA walimchukia sana kwa kusimamia imala MALI ZA UMMA.
 
Inaumiza sana..Kufanya biashara Tanzania yahitaji kujitoa muhanga na kuwa na roho ngumu mnoo..

Wenye maamuzi wamejimirikisha hati miliki za kutesa,kunyanyasa na kuumiza ktk jina la kukusanya kodi..

Utawala wa haki na sheria wapaswa kutamalaki kwa watendaji wote..

Haki ni hazina ya sasa na tuendako baada k
Umeongea POINT ki professional zaidi na kizarendo haswa. Lakini shida ni nani atamfunga paka KENGELE
Ikiwa NAHODHA ajali lolote CHOMBO kinaenda mlama.

Kwa uliyoyaandika kama yakitekelezeka haswa namba 7 la kuunda kitengo nje ya TRA kufatilia uadirifu wa watumishi wake.

Na namba 8 la kuhusu mahakama ni mambo ambayo muhimu sana huwezi kuchukua pesa pesa ya mtu bila kumshilikisha na kumsikiliza hii no mihimu sana mahakama ndo iwe inatoa uamuzi ili kumsadia mfanyabiashara na vile kuifanya TRA izidi kufanya mambo kiuwererdi sio maamuzi ya watu wachache yanaleta kilio kwa wengi 7bu hayo mambo tumeshiudia watu wengi wakionewa kwa mtindo huu hvyo hili jambo likiwa la kimahakama zaidi litaleta unafuu kwa mafanya biashara na litapunguza chuki maneno maneno kwa TRA na maofisa wake.

Lakini pia swala namba 9 ni kama vile TRA wanaliona haliwahusu wanachojua wao ni kudai KODI tu wakati wao wapo kujenga NCHI sasa utajengaje nchi na kupata KODI kwa wakati bila kishirikiana na kupeana mbinu mbali mbali na mfanyabiashala ili pamoja mkuze biashara na kujenga NCHI yaana TRA imekuwa ndio muuaji wa biashara badala kuwa mdau mzuri wa ushauri katika kukuza BIASHARA.

Okay but ukishapata AJIRA TRA unaona umewin maisha Kinachofuata ni upigaji kwa kwenda mbele hili ndio jambo kubwa linadhoofisha TAASISI hii kukosekana UZARENDO kwa wafanyakazi wa hii TAASISI. Na hili ni tatizo kubwa TANZANIA ukishaoata kazi Serikali basii unaona unaona mali zote ulizopewa JUKUMU kuziongoza au kusimamia unaona ni za URITHI wa babaako hvyo ni halali kujimilikisha iwe kuiba au kujikopeaha bila kufuata utaratibu.

Ndio maana katika utawala wa JPM watumishi wa UMMA walimchukia sana kwa kusimamia imala MALI ZA UMMA.
inatesa na kuumiza wengi sana.

Kufanya biashara ktk nchi zetu yataka roho ngumu sana.
 
Mnyororo wa rushwa ni mrefu sana.. Senior officers/Managers wa leo walikuwa juniors miaka 10 iliopita..vivo hivyo Commisdioners na deputies..

Chukua chako mapema.. Mfumo wa kulindana mwanzo mwisho..

Mabadiriko yanawezekana..Hakuna lisilowezekana
 
Mathalani TRA wanafunga akaunti na mashine za EFD za mfanyabiashara asifanye biashara na huku wanamshinikiza alipe madeni..Mfanyabiashara akiomba wafungue akaunti alipe kiwango husika wanagoma na kumwambia atafute kupitia vyanzo vingine na kulipa..U ni zaidi ya unyama..

Wapo wafanyabiashara wanaofanya biashara kwa kuikopesha Serikali (Mfumo wa manunuzi wa Serikali umetamalaki ukopaji wa huduma/Bidhaa kwa maana ya unatoa huduma au uzabuni wa bidhaa kisha kulipwa baadae) Sasa ikitokea Serikali ama taasisi zake kuchelewa kulipa Wazabuni na Mzabuni akawa anadaiwa na TRA..TRA hawaelewi chochote hata uwape nyaraka za kudai Ikulu..Jeshi,MSD,TANESCO,Hazina,MNH,MOI..Wao wanalazimisha na kusumbua mfanyabiashara kulipa kodi ya malipo ambayo hana..

Kwa nini kusiwe na integrated communications baina ya taasisi za Umma..Settlement agrerments zifanyike kwa mfanyabiashara/Kampuni/Mzabuni kuuza deni kwa TRA na kuwezesha TRA kulipwa na Taasisi ya Umma/Serikali kuepusha mateso/vifo/Stroke..Kwa hazina ya maendeleo ya Taifa.

Barua za kufunga akaunti za wafanyabiashara toka TRA kwenda ktk mabenki ni za kibabe zenye lugha ya kidikteta mnoo..Sawa na amri ya kamata mwizi huyooo..Hizi barua na content zake zinafadhaisha sana..Zinadharirisha sana na kushusha credibility pamoja na intergrity ya wafanyabiashara au kampuni..Hazina tofauti na matangazo ya kupiga mnada wa nyumba ya mdaiwa (defaulter wa Bank)..

Kujenga biashara imara na endelevu si jambo rahisi hasa ktk nchi zinazoendelea..Changamoto,Magumu,Vikwazo na mabonde ni mengi mnoo..Hata kufikia hatua ya kuaminiwa na financial institutions (Banks) si jambo rahisi..Sasa barua za TRA zina ubabe wa ajabu mnoo (Ndani yake kuna Upolisi,U DPP,Umahakama,Umagereza)..Terrible..Its advised to reconstruct content therein if it may be permitted by Tanzania court of Law (Kama ikilazimika kuendelea na mfumo husika kupitia mchakato wa kimahakama basi ujumbe ama amri zitolewazo kupitia barua husika ziwe na lugha ya staha,heshima na busara..

Kusimamisha Biashara sio jambo lelemama,Ukimuona mfanyabiashara kafanikiwa au kaaanza kufanikiwa sio kumuandama ili aanguke..Umaskini unatesa sana..

Mamlaka zijitafakari,Watendakazi jitafakirini,Kuna matendo ya uharamia kwa wafanyabiashara yanazaa laana kwenu,Watoto na vizazi vyenu..Mtaishi maisha ya anasa kuoitia Rushwa,Mtawasomesha kwa gharama kubwa kupitia Rushwa,Mtahonga kupitia Rushwa,Mtanunua madaraka na vyeo kupitia Rushwa..Chozi la anaedhurumiwa na kuporwa au kuteswa malipo yake yatapatikana hapa na tuendako baada ya maisha ya hapa duniani..
 
Mamlaka ya mapato Tanzania ni chombo muhimu sana ktk kuijenga nchi kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiutamaduni. TRA wana majukumu makubwa ya kukusanya mapato ili kufanikisha ulipaji wa gharama mbalimbali Za kuendesha Serikali (Matumizi,Miradi,Ulipaji madeni yanayokopwa nje na ndani).

Kimsingi sheria Za kodi za Tanzania ni photocopy ya sheria Za kodi toka ktk mataifa yaliondelea kiuchumi kama Uingereza hivyo ni sheria ngumu kwa kuzingatia utofauti wa mifumo ya kiuchumi,Elimu na uwezeshaji.

Miaka michache iliopita Wafanyabiashara,wajasiliamali na Wawekezaji walipitia kwenye ubatizo wa moto kutokana na approach Za ubabe, maguvu. Vilivyoenda sambamba na Uporaji mali,Rushwa na ukosefu wa uadirifu,Makadirio kandamizi.

Maafisa wengi wa TRA na wengine kupitia TASK FORCE walitajirika sana kupitia ukandamizaji,Unyongaji biashara,Uharamia wa kimamlaka..Ufungaji biashara,Ukwapuaji fedha kwenye akaunti za wafanyabiashara. Michakato hii ilipekekea wafanyabiashara wengi kufirisika,kufunga biashara,kujiua,Kukimbia nchi,Kuhamisha biashara na uwekezaji wao.

Mambo yamerudi yamerudi upya sasa..Maafisa kodi,Mameneja na waandamizi wamevaa koti na mavazi mapya ya Tax force. Wafanyabiashara wameanza kuishi kama digidigi, hofu, wasiwasi, huzuni na kukosa tumaini. Maafisa wamegeuka miungu watu. Mfanyabiashara anaamka anakuta EFD zimefungwa,akaunti zimezuiwa.

Kimsingi ktk makusanyo yanayofanyika,Wafanyakazi wasio waadirifu wana chukua robo na zaidi ya mapato kupitia Rushwa na mirungura. Ndio maana wengi wa watumishi ktk TRA wanaishi na kufanya uwekezaji mkubwa (Majumba, Magari, Apartments, Mitambo, Shares, Bonds, Extravagants life) kinyume na uhakisia wa vipato halali. Wengi wanafanya uwekezaji haramu na kutakatisha fedha kupitia ndugu,jamaa,marafiki kukwepa mikono ya dola na kujulikana.

Simu zinapigwa asubuhi,Mchana na jioni..akifika anapewa mkeka wa makadirio Vitisho, usumbufu, ubabe. Mwisho wa siku Rushwa, Mirungura, Vilio.

NINI KIFANYIKE
1: TRA lazima wapanue na kuongeza wigo wa walipa kodi (TRA must widen Tax base).Hili litasaidia sana kuepusha ku suffocate biashara chache zilizopo kwa kuzingatia idadi ya watu na mahitaji ya nchi sasa na baadae.

2: Wafanyakazi waongezwe, TRA is advised to recruit more staff to facilitate down top approach compliance sensitization. TRA inahitaji taaluma mtambuka kusaidia ktk kujenga mahusiano, kuelimisha, ni wakati wa kuwa na Relationship Officers, Relationship Managers, Transformations Officers, Business Advisors, Commercial Consultants. Wenye wigo wa kusaidia weredi ktk compliances badala ya kuwa wakusanya madeni kama Yono au Majembe, Adili..Court brokers..

Wafanyabiashara ni business partners/Affilliates wa nchi,TRA. Sio wezi, Majambazi, Maharamia. They deserve respect, honour, proffessional treatments. Consultative approached zitumike kudai kodi.

3: Review employee rotational strategy. Wafanyakazi wanakua aggressive kuomba na kupokea rushwa pindi wakihamishiwa kwenye vitengo vyenye fulsa dhidi ya vitengo/kanda/Mikoa mikavu.

4:SHERIA ZA KODI ZIFANYIWE MAREKEBISHO ILI KUENDANA NA UHALISIA WA BIASHARA NA MAZINGIRA YA NCHI. Mfano, VAT, PAYEE, SDL, Corporate Tax, Income Tax.

5: Corporate Tax ishushwe kufikia 20% ili kuwezesha ukuaji wa biashara,makampuni,uwekezaji.

6: Kuwe na Category rasmi za kibiashara ktk mifumo ya kodi na kodi zitofautiane. SME, Large Enterprises, Congromerates. Multinational Enterprises, Foreign State Owned Enterprises.

7: Kutokana na unyeti wa kazi ya ukusanyaji mapato na kulindima kwa vitendovya matumizi mabaya ya madaraka,Rushwa na Ufisadi kuundwe idara maaalumu ya ufuatiliaji wa maadili wa watumishi wa TRA nje ya mfumo wa TRA. Ama kuwe na vitengo ktk taasisi kama JWTZ, TAKUKURU ,DPP, etc.

8: Taratibu za kisheria (Mahakama) zifuatwe ktk utekelezaji wa maamuzi ya kufunga biashara,Kufunga Akaunti,Uchotaji fedha toka kwenye akaunti za wafanyabiashara kwa maguvu na ubabe.

9: Consultative Approach zitumike kuwajenga,Kuwasaidia na kuwainua wafanyabiashara ili kuwafanya kuwa more compliants (Voluntary)..Wakue ktk viwango vya ulipaji,waneemeke na kazi wafanyazo..Biashara sio mateso,jehanamu..

10:Misamaha ya kodi zisizolipika itolewe kusaidia kufufua biashara zinazokufa sababu ya malimbikizo makubwa ya kodi,penati na faini..Tuinue uchumi,Tukuze uchumi..

11:Tax incentives na Tax Holidays kwa SME..

12:Mikopo isio ya Lazima isikopwe na wanasiasa kuepuka mzigo mkubwa kwa walipa kodi wachache..Tukope kwenye miradi yenye tija endelevu..Sio miradi ya kisiasa..Makamishna wa kodi wawepo kwenye team za ukopaji kusaidia kutetea na kupigania uhalisia wa viwango na mizigo ya ulipaji..

13:Nguvu kubwa mnoo itumike kwenye kudhibiti upotevu wa mapato kupitia taasisi mbalimbali (CAG report).Hatua kali zichukuliwe kuwatia moyo wafanyakazi na wafanyabiashara wanao kosa usingizi kufanya biashara kwa jasho na damu ili kulipa kodi..
Mathalani TRA wanafunga akaunti na mashine za EFD za mfanyabiashara asifanye biashara na huku wanamshinikiza alipe madeni..Mfanyabiashara akiomba wafungue akaunti alipe kiwango husika wanagoma na kumwambia atafute kupitia vyanzo vingine na kulipa..U ni zaidi ya unyama..

Wapo wafanyabiashara wanaofanya biashara kwa kuikopesha Serikali (Mfumo wa manunuzi wa Serikali umetamalaki ukopaji wa huduma/Bidhaa kwa maana ya unatoa huduma au uzabuni wa bidhaa kisha kulipwa baadae) Sasa ikitokea Serikali ama taasisi zake kuchelewa kulipa Wazabuni na Mzabuni akawa anadaiwa na TRA..TRA hawaelewi chochote hata uwape nyaraka za kudai Ikulu..Jeshi,MSD,TANESCO,Hazina,MNH,MOI..Wao wanalazimisha na kusumbua mfanyabiashara kulipa kodi ya malipo ambayo hana..

Kwa nini kusiwe na integrated communications baina ya taasisi za Umma..Settlement agrerments zifanyike kwa mfanyabiashara/Kampuni/Mzabuni kuuza deni kwa TRA na kuwezesha TRA kulipwa na Taasisi ya Umma/Serikali kuepusha mateso/vifo/Stroke..Kwa hazina ya maendeleo ya Taifa.

Barua za kufunga akaunti za wafanyabiashara toka TRA kwenda ktk mabenki ni za kibabe zenye lugha ya kidikteta mnoo..Sawa na amri ya kamata mwizi huyooo..Hizi barua na content zake zinafadhaisha sana..Zinadharirisha sana na kushusha credibility pamoja na intergrity ya wafanyabiashara au kampuni..Hazina tofauti na matangazo ya kupiga mnada wa nyumba ya mdaiwa (defaulter wa Bank)..

Kujenga biashara imara na endelevu si jambo rahisi hasa ktk nchi zinazoendelea..Changamoto,Magumu,Vikwazo na mabonde ni mengi mnoo..Hata kufikia hatua ya kuaminiwa na financial institutions (Banks) si jambo rahisi..Sasa barua za TRA zina ubabe wa ajabu mnoo (Ndani yake kuna Upolisi,U DPP,Umahakama,Umagereza)..Terrible..Its advised to reconstruct content therein if it may be permitted by Tanzania court of Law (Kama ikilazimika kuendelea na mfumo husika kupitia mchakato wa kimahakama basi ujumbe ama amri zitolewazo kupitia barua husika ziwe na lugha ya staha,heshima na busara..

Kusimamisha Biashara sio jambo lelemama,Ukimuona mfanyabiashara kafanikiwa au kaaanza kufanikiwa sio kumuandama ili aanguke..Umaskini unatesa sana..

Mamlaka zijitafakari,Watendakazi jitafakirini,Kuna matendo ya uharamia kwa wafanyabiashara yanazaa laana kwenu,Watoto na vizazi vyenu..Mtaishi maisha ya anasa kuoitia Rushwa,Mtawasomesha kwa gharama kubwa kupitia Rushwa,Mtahonga kupitia Rushwa,Mtanunua madaraka na vyeo kupitia Rushwa..Chozi la anaedhurumiwa na kuporwa au kuteswa malipo yake yatapatikana hapa na tuendako baada ya maisha ya hapa duniani..
Mamlaka ya mapato Tanzania ni chombo muhimu sana ktk kuijenga nchi kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiutamaduni. TRA wana majukumu makubwa ya kukusanya mapato ili kufanikisha ulipaji wa gharama mbalimbali Za kuendesha Serikali (Matumizi,Miradi,Ulipaji madeni yanayokopwa nje na ndani).

Kimsingi sheria Za kodi za Tanzania ni photocopy ya sheria Za kodi toka ktk mataifa yaliondelea kiuchumi kama Uingereza hivyo ni sheria ngumu kwa kuzingatia utofauti wa mifumo ya kiuchumi,Elimu na uwezeshaji.

Miaka michache iliopita Wafanyabiashara,wajasiliamali na Wawekezaji walipitia kwenye ubatizo wa moto kutokana na approach Za ubabe, maguvu. Vilivyoenda sambamba na Uporaji mali,Rushwa na ukosefu wa uadirifu,Makadirio kandamizi.

Maafisa wengi wa TRA na wengine kupitia TASK FORCE walitajirika sana kupitia ukandamizaji,Unyongaji biashara,Uharamia wa kimamlaka..Ufungaji biashara,Ukwapuaji fedha kwenye akaunti za wafanyabiashara. Michakato hii ilipekekea wafanyabiashara wengi kufirisika,kufunga biashara,kujiua,Kukimbia nchi,Kuhamisha biashara na uwekezaji wao.

Mambo yamerudi yamerudi upya sasa..Maafisa kodi,Mameneja na waandamizi wamevaa koti na mavazi mapya ya Tax force. Wafanyabiashara wameanza kuishi kama digidigi, hofu, wasiwasi, huzuni na kukosa tumaini. Maafisa wamegeuka miungu watu. Mfanyabiashara anaamka anakuta EFD zimefungwa,akaunti zimezuiwa.

Kimsingi ktk makusanyo yanayofanyika,Wafanyakazi wasio waadirifu wana chukua robo na zaidi ya mapato kupitia Rushwa na mirungura. Ndio maana wengi wa watumishi ktk TRA wanaishi na kufanya uwekezaji mkubwa (Majumba, Magari, Apartments, Mitambo, Shares, Bonds, Extravagants life) kinyume na uhakisia wa vipato halali. Wengi wanafanya uwekezaji haramu na kutakatisha fedha kupitia ndugu,jamaa,marafiki kukwepa mikono ya dola na kujulikana.

Simu zinapigwa asubuhi,Mchana na jioni..akifika anapewa mkeka wa makadirio Vitisho, usumbufu, ubabe. Mwisho wa siku Rushwa, Mirungura, Vilio.

NINI KIFANYIKE
1: TRA lazima wapanue na kuongeza wigo wa walipa kodi (TRA must widen Tax base).Hili litasaidia sana kuepusha ku suffocate biashara chache zilizopo kwa kuzingatia idadi ya watu na mahitaji ya nchi sasa na baadae.

2: Wafanyakazi waongezwe, TRA is advised to recruit more staff to facilitate down top approach compliance sensitization. TRA inahitaji taaluma mtambuka kusaidia ktk kujenga mahusiano, kuelimisha, ni wakati wa kuwa na Relationship Officers, Relationship Managers, Transformations Officers, Business Advisors, Commercial Consultants. Wenye wigo wa kusaidia weredi ktk compliances badala ya kuwa wakusanya madeni kama Yono au Majembe, Adili..Court brokers..

Wafanyabiashara ni business partners/Affilliates wa nchi,TRA. Sio wezi, Majambazi, Maharamia. They deserve respect, honour, proffessional treatments. Consultative approached zitumike kudai kodi.

3: Review employee rotational strategy. Wafanyakazi wanakua aggressive kuomba na kupokea rushwa pindi wakihamishiwa kwenye vitengo vyenye fulsa dhidi ya vitengo/kanda/Mikoa mikavu.

4:SHERIA ZA KODI ZIFANYIWE MAREKEBISHO ILI KUENDANA NA UHALISIA WA BIASHARA NA MAZINGIRA YA NCHI. Mfano, VAT, PAYEE, SDL, Corporate Tax, Income Tax.

5: Corporate Tax ishushwe kufikia 20% ili kuwezesha ukuaji wa biashara,makampuni,uwekezaji.

6: Kuwe na Category rasmi za kibiashara ktk mifumo ya kodi na kodi zitofautiane. SME, Large Enterprises, Congromerates. Multinational Enterprises, Foreign State Owned Enterprises.

7: Kutokana na unyeti wa kazi ya ukusanyaji mapato na kulindima kwa vitendovya matumizi mabaya ya madaraka,Rushwa na Ufisadi kuundwe idara maaalumu ya ufuatiliaji wa maadili wa watumishi wa TRA nje ya mfumo wa TRA. Ama kuwe na vitengo ktk taasisi kama JWTZ, TAKUKURU ,DPP, etc.

8: Taratibu za kisheria (Mahakama) zifuatwe ktk utekelezaji wa maamuzi ya kufunga biashara,Kufunga Akaunti,Uchotaji fedha toka kwenye akaunti za wafanyabiashara kwa maguvu na ubabe.

9: Consultative Approach zitumike kuwajenga,Kuwasaidia na kuwainua wafanyabiashara ili kuwafanya kuwa more compliants (Voluntary)..Wakue ktk viwango vya ulipaji,waneemeke na kazi wafanyazo..Biashara sio mateso,jehanamu..

10:Misamaha ya kodi zisizolipika itolewe kusaidia kufufua biashara zinazokufa sababu ya malimbikizo makubwa ya kodi,penati na faini..Tuinue uchumi,Tukuze uchumi..

11:Tax incentives na Tax Holidays kwa SME..

12:Mikopo isio ya Lazima isikopwe na wanasiasa kuepuka mzigo mkubwa kwa walipa kodi wachache..Tukope kwenye miradi yenye tija endelevu..Sio miradi ya kisiasa..Makamishna wa kodi wawepo kwenye team za ukopaji kusaidia kutetea na kupigania uhalisia wa viwango na mizigo ya ulipaji..

13:Nguvu kubwa mnoo itumike kwenye kudhibiti upotevu wa mapato kupitia taasisi mbalimbali (CAG report).Hatua kali zichukuliwe kuwatia moyo wafanyakazi na wafanyabiashara wanao kosa usingizi kufanya biashara kwa jasho na damu ili kulipa kodi..
Mathalani TRA wanafunga akaunti na mashine za EFD za mfanyabiashara asifanye biashara na huku wanamshinikiza alipe madeni..Mfanyabiashara akiomba wafungue akaunti alipe kiwango husika wanagoma na kumwambia atafute kupitia vyanzo vingine na kulipa..U ni zaidi ya unyama..

Wapo wafanyabiashara wanaofanya biashara kwa kuikopesha Serikali (Mfumo wa manunuzi wa Serikali umetamalaki ukopaji wa huduma/Bidhaa kwa maana ya unatoa huduma au uzabuni wa bidhaa kisha kulipwa baadae) Sasa ikitokea Serikali ama taasisi zake kuchelewa kulipa Wazabuni na Mzabuni akawa anadaiwa na TRA..TRA hawaelewi chochote hata uwape nyaraka za kudai Ikulu..Jeshi,MSD,TANESCO,Hazina,MNH,MOI..Wao wanalazimisha na kusumbua mfanyabiashara kulipa kodi ya malipo ambayo hana..

Kwa nini kusiwe na integrated communications baina ya taasisi za Umma..Settlement agrerments zifanyike kwa mfanyabiashara/Kampuni/Mzabuni kuuza deni kwa TRA na kuwezesha TRA kulipwa na Taasisi ya Umma/Serikali kuepusha mateso/vifo/Stroke..Kwa hazina ya maendeleo ya Taifa.

Barua za kufunga akaunti za wafanyabiashara toka TRA kwenda ktk mabenki ni za kibabe zenye lugha ya kidikteta mnoo..Sawa na amri ya kamata mwizi huyooo..Hizi barua na content zake zinafadhaisha sana..Zinadharirisha sana na kushusha credibility pamoja na intergrity ya wafanyabiashara au kampuni..Hazina tofauti na matangazo ya kupiga mnada wa nyumba ya mdaiwa (defaulter wa Bank)..

Kujenga biashara imara na endelevu si jambo rahisi hasa ktk nchi zinazoendelea..Changamoto,Magumu,Vikwazo na mabonde ni mengi mnoo..Hata kufikia hatua ya kuaminiwa na financial institutions (Banks) si jambo rahisi..Sasa barua za TRA zina ubabe wa ajabu mnoo (Ndani yake kuna Upolisi,U DPP,Umahakama,Umagereza)..Terrible..Its advised to reconstruct content therein if it may be permitted by Tanzania court of Law (Kama ikilazimika kuendelea na mfumo husika kupitia mchakato wa kimahakama basi ujumbe ama amri zitolewazo kupitia barua husika ziwe na lugha ya staha,heshima na busara..

Kusimamisha Biashara sio jambo lelemama,Ukimuona mfanyabiashara kafanikiwa au kaaanza kufanikiwa sio kumuandama ili aanguke..Umaskini unatesa sana..

Mamlaka zijitafakari,Watendakazi jitafakirini,Kuna matendo ya uharamia kwa wafanyabiashara yanazaa laana kwenu,Watoto na vizazi vyenu..Mtaishi maisha ya anasa kuoitia Rushwa,Mtawasomesha kwa gharama kubwa kupitia Rushwa,Mtahonga kupitia Rushwa,Mtanunua madaraka na vyeo kupitia Rushwa..Chozi la anaedhurumiwa na kuporwa au kuteswa malipo yake yatapatikana hapa na tuendako baada ya maisha ya hapa duniani..
 
Sheria ya kodi ya nchi moja aiwezi kuwa sawa na ya nchi nyingine kila nchi ina target zake za budget, malengo ya kuchochea uchumi na mikakati ya kufanikisha hayo malengo. Pili sheria ya kodi inabadilika kila mwaka serikali inapopeleka budget bungeni.

Sheria za administration ya kodi ndio fixed na ufanyiwa amendment (be it rarely) ni copy and paste ya sheria ya U.K. Sasa hadi ufungiwe account ya biashara kwa sheria ya Tanzanq inabidi kwanza wakushuku unakwepa kodi.

Njia moja wapo ya kushukiwa ni rahisi sana kubaini kama huyu mtu anaweza kuwa mkwepa kodi. Iwapo kuna maduka mawili eneo moja (labda kariakoo), size zinalingana halafu variation ya kodi wanazolipa zina tofauti kubwa sana.

Hata pamoja na kushukiwa wakija kukufanyia forensic audit wakakuta hesabu zako sawa (unafuata accounting standards), umetunza receipt zako na kumbukumbu nyingine muhimu kwa miaka mitano nyuma kama (sheria inavyotaka) na kila kitu kina reconcile hakuna mtu wa kufunga account yako. Wakijaribu ukienda TAKUKURU mziki unageuka kwao.

The only way afisa wa TRA anaweza kukutisha ni pale ambapo wewe hujui mipaka yake ya kazi na wala hujui majukumu ya kutunza hesabu za biashara kwa mujibu wa sheria; vinginevyo hawana lolote kazi yao 100% ni mwongozo wa sheria hakuna ubunifu binafsi.

Kuhusu incentives kuna misamaha kibao ya kibiashara kwenye uzalishaji, watanzania amtaki kuzalisha nyie mnataka kwenda China tu na kuagiza ready made goods ndio maana amuoni hizo fursa.
 
Sheria za administration ya kodi ndio copy and paste labda na hadi ufungiwe account ya biashara kwa sheria ya Tanzania (copy ya U.K) inabidi kwanza wakushuku unakwepa kodi.
Mfanyabiashara anataka mkopo, Bank inataka mzunguko, mfanyabiashara analazimisha mzunguko kwa chukua weka rudisha weka, TRA wanakuja wanakuambia hayo ni mauzo umeyaficha wanakupiga 30% na VAT 18% Plus interest and penalty halafu unapigwa assesment ukiwa na limkopo la kutosha. Mambo si mepesi hivyo.

Huo ni mfano mmoja tu nimekupa ila kuna namna nyingi za kunyooshwa, umeagiza mzigo mtu wa forodha ana uplift price ili ulipe kodi kubwa, unalipa unaenda kwenye biashra. Baadae anakuja afisa ukaguzi na hoja ya underdeclared purchases. MAMBO SI MEPESI KAMA ULIVYOAANDIKA HAPA BOSS.
Sasa ni rahisi sana kubaini kama huyu mtu anaweza kuwa mkwepa kodi. Aiwezekani maduka mawili ya eneo (labda kariakoo), size zinalingana halafu variation ya kodi wanazolipa zina tofauti kubwa sana.
Kwanini isiwezekane? Kodi inalipwa kwa kuangalia faida sio mfanano wa maduka.
Sasa mfano ww ni afisa, upo kwenye ukaguzi, mwenzangu ametoa disc 20% kwa miezi 4 Jan-April na mimi sikuweza kutokana na gharama ya nilipopata bidhaa zangu, baada ya miezi 6 umekuja umecheki mashine mm nina mauzo pungufu by 50% tayari hapo ushanihisi mkwepa kodi?

Cost of sales za duka langu linaathiriwa na mfumo wangu wa manunuzi, management na idadi ya wateja ninaowapata(Connection).

Ndani ya mwaka husika naweza uza 50% more or less ya jirani yangu kutokana na mambo mengi sana yaliyotokea ndani ya mwaka wa biashara.

Ndo maana nasema, wafanya biashara inabidi wawe na akili mno maana kodi inakusanywa kwa kutumia watu ambao hawaijui biashara ila wanajua yaliyopo kwenye karatasi mapolicy na uchunguzi wa kutumia nadharia badala ya uhalisia.
Hata pamoja na kushukiwa wakija kukufanyia forensic audit wakakuta hesabu zako ziko, umetunza receipt zako na kumbukumbu nyingine muhimu kwa miaka mitano nyuma kama (sheria inavyotaka) na kila kitu kina reconcile hakuna mtu wa kufunga account yako. Wakijaribu ukienda TAKUKURU mziki unageuka kwao.
Account haifungwi na wakaguzi, Wakaguzi wao wanakuja, wanafanya Audit, wanakupa additional assement wanaondoka. Usipoappeal Huko mbeleni utakutana na watu wa dept department, hawa sasa ndo watakufungia account n.k

Mkuu, kwa nadharia ni rahisi sana wewe kuongea hivi. Nimekupa mfano wa hoja ndogo tu, utofauti wa fedha benki na risiti za Efd, umeshindwa kuleta ushahidi kuwa yale si mauzo ila ulikuwa unacheza na kunenepesha account uweze kukopesheka. Afisa kakupa mikodi na mipenalt sijui interest. Miaka 3 mbele kaja mtu wa debt kafunga account ikiwa na fedha za wateja mpaka ulipe, hapo una mkopo ulishakopeshwa, wafanyakazi wengine wamekupeleka mahakamani sababu ya kuwasitishia ajira ghafla, una mgogoro wa kodi ya pango na unaitwa mkwepa kodi. Halafu baadae unasikia ripoti ya CAG kuna ubadhilifu sijui wizi.
The only way afisa wa TRA anaweza kukutisha ni pale ambapo wewe hujui mipaka yake ya kazi na majukumu ya kutunza hesabu za biashara, vinginevyo Hawana lolote kazi ya 100% mwongozo wa sheria hakuna ubunifu binafsi.
Mfanya biashara anachojua ni wapi akachukue bidhaa na aipeleke wapi atengeneze faida.

Hajui majukumu mengine na hataki kujua sababu ya hilo jukumu.

Unajua wafanyabiashara wadogo na wa kati wengi hata mahesabu tunayopeleka TRA wengi hatuyahitaji.

Mfano, Unajua kabisa nimekopa M500, nimeagiza mzigo, kodi ya forodha M200, upakiaji na upakuaji na gharama nyingine za wafanyakazi n.k M100, Jumla ya gharama M800.

Huu mzigo natakiwa nihakikishe mpaka unaisha nisikose M900 nilipe riba ya watu na nirudishe principle na mimi nibakiwe na changu.

SASA HUO MUDA WA KUJIFUNZA MIPAKA YA MTU WA TRA UNAUTOA WAPI? KWANZA AKIJA HAPO AKAANZA KUKUAMBIA MAMBO YA PRINCIPLE OF TAX SIJUI ACCOUNTS ANAKUCHANGANYA TU.
Kuhusu incentives kuna misamaha kibao ya kibiashara kwenye uzalishaji, watanzania amtaki kuzalisha nyie mnataka kwenda China tu na kuagiza ready made goods ndio maana amuoni hizo fursa.
HAPA NAUNGA MKONO HOJA. NI KWELI TUNAPENDA UCHUUZI. ILA USHAJARIBU KUFUNGUA KIWANDA? NIAMBIE JINSI ILIVYO RAHISI.
 
Mfanyabiashara anataka mkopo, Bank inataka mzunguko, mfanyabiashara analazimisha mzunguko kwa chukua weka rudisha weka, TRA wanakuja wanakuambia hayo ni mauzo umeyaficha wanakupiga 30% na VAT 18% Plus interest and penalty halafu unapigwa assesment ukiwa na limkopo la kutosha. Mambo si mepesi hivyo.

Huo ni mfano mmoja tu nimekupa ila kuna namna nyingi za kunyooshwa, umeagiza mzigo mtu wa forodha ana uplift price ili ulipe kodi kubwa, unalipa unaenda kwenye biashra. Baadae anakuja afisa ukaguzi na hoja ya underdeclared purchases. MAMBO SI MEPESI KAMA ULIVYOAANDIKA HAPA BOSS.

Kwanini isiwezekane? Kodi inalipwa kwa kuangalia faida sio mfanano wa maduka.
Sasa mfano ww ni afisa, upo kwenye ukaguzi, mwenzangu ametoa disc 20% kwa miezi 4 Jan-April na mimi sikuweza kutokana na gharama ya nilipopata bidhaa zangu, baada ya miezi 6 umekuja umecheki mashine mm nina mauzo pungufu by 50% tayari hapo ushanihisi mkwepa kodi?

Cost of sales za duka langu linaathiriwa na mfumo wangu wa manunuzi, management na idadi ya wateja ninaowapata(Connection).

Ndani ya mwaka husika naweza uza 50% more or less ya jirani yangu kutokana na mambo mengi sana yaliyotokea ndani ya mwaka wa biashara.

Ndo maana nasema, wafanya biashara inabidi wawe na akili mno maana kodi inakusanywa kwa kutumia watu ambao hawaijui biashara ila wanajua yaliyopo kwenye karatasi mapolicy na uchunguzi wa kutumia nadharia badala ya uhalisia.

Account haifungwi na wakaguzi, Wakaguzi wao wanakuja, wanafanya Audit, wanakupa additional assement wanaondoka. Usipoappeal Huko mbeleni utakutana na watu wa dept department, hawa sasa ndo watakufungia account n.k

Mkuu, kwa nadharia ni rahisi sana wewe kuongea hivi. Nimekupa mfano wa hoja ndogo tu, utofauti wa fedha benki na risiti za Efd, umeshindwa kuleta ushahidi kuwa yale si mauzo ila ulikuwa unacheza na kunenepesha account uweze kukopesheka. Afisa kakupa mikodi na mipenalt sijui interest. Miaka 3 mbele kaja mtu wa debt kafunga account ikiwa na fedha za wateja mpaka ulipe, hapo una mkopo ulishakopeshwa, wafanyakazi wengine wamekupeleka mahakamani sababu ya kuwasitishia ajira ghafla, una mgogoro wa kodi ya pango na unaitwa mkwepa kodi. Halafu baadae unasikia ripoti ya CAG kuna ubadhilifu sijui wizi.

Mfanya biashara anachojua ni wapi akachukue bidhaa na aipeleke wapi atengeneze faida.

Hajui majukumu mengine na hataki kujua sababu ya hilo jukumu.

Unajua wafanyabiashara wadogo na wa kati wengi hata mahesabu tunayopeleka TRA wengi hatuyahitaji.

Mfano, Unajua kabisa nimekopa M500, nimeagiza mzigo, kodi ya forodha M200, upakiaji na upakuaji na gharama nyingine za wafanyakazi n.k M100, Jumla ya gharama M800.

Huu mzigo natakiwa nihakikishe mpaka unaisha nisikose M900 nilipe riba ya watu na nirudishe principle na mimi nibakiwe na changu.

SASA HUO MUDA WA KUJIFUNZA MIPAKA YA MTU WA TRA UNAUTOA WAPI? KWANZA AKIJA HAPO AKAANZA KUKUAMBIA MAMBO YA PRINCIPLE OF TAX SIJUI ACCOUNTS ANAKUCHANGANYA TU.

HAPA NAUNGA MKONO HOJA. NI KWELI TUNAPENDA UCHUUZI. ILA USHAJARIBU KUFUNGUA KIWANDA? NIAMBIE JINSI ILIVYO RAHISI.
Umeandika mambo mengi sana ambayo majibu yake nayo yanataka maelezo mengi sana ambayo yapo kwenye sheria. So nitajibu briefly bila ya kuweka article za sheria zinasemaje due to time constraints.

1. Kuhusu TRA kudai mkopo ni sehemu ya mapato ya biashara kama unafuata sheria na kuangalia kumbukumbu unazotakiwa kutunza moja wapo ni bank statement. So ukiwatolea bank statement itaonyesha mkopo na reference number yake, bank pia ulisaini copy ya mkataba wa mkopo na marejesho yake hiyo pia ni evidence.

Bank statement pia itaonyesha matumizi ya hizo hela kwenye biashara, kama ulitoa ukanunua kwa cash unatakiwa utunze purchases receipt. Kwa kifupi ukisoma sheria ya tax administration sehemu inayokwambia aina ya kumbukumbu za kutunza ni kwa sababu ya traceability kama hizi. Sheria nayo sio imejitungia tu aina ya evidence za kutunza hizo ni sehemu ya IFRS kwenye bookeeping inataka uweke hesabu na ushahidi so it’s just accounting practice yenye kurahisisha kazi ya auditing.

2. Mtu wa forodha awezi ku overstate gharama ya mzigo wako, viwango vinapangwa na wizara ya fedha, formula ya kukotoa ipo, na una receipt ya manunuzi. Kama Unafahamu unachotakiwa kuwa nacho upande wako hakuna wakukupa tax bill kubwa.

3. Kweli kodi inalipwa kwa kuangalia faida kushukiwa sio kwamba una kosa. Wakija ni kujiridhisha tu hakuna udanganyifu, utaratibu watakafuata ni kufanya audit tu na sheria ipo wazi unatakiwa kutunza kumbukumbu zipi za biashara na kwa muda gani. Ujafuata utaratibu kasheshe, hapo sasa sheria inawaruhusu kwenda bank kuomba info kama bank statement kwa lazima na mambo mengine yanayofuatia. Kutokutunza nyaraka za biashara hiyo ni serious fraud offence.

Ni hivi ume ongea mambo mengi yote yanajibika hakuna wa kukusumbua ukifuata taratibu ata mkopo wenyewe interest zake unatoa kwenye faida. Nina personal writing commitments usiku huu kama mjadala utakuwa active kesho will be back.

👋
 
Umeandika mambo mengi sana ambayo majibu yake nayo yanataka maelezo mengi sana ambayo yapo kwenye sheria. So nitajibu briefly bila ya kuweka article za sheria zinasemaje due to time constraints.

1. Kuhusu TRA kudai mkopo ni sehemu ya mapato ya biashara kama unafuata sheria na kuangalia kumbukumbu unazotakiwa kutunza moja wapo ni bank statement. So ukiwatolea bank statement itaonyesha mkopo na reference number yake, bank ulisaini copy ya mkataba wa mkopo na marejesho yake.

Bank statement pia itaonyesha matumizi ya hizo hela kwenye biashara, kama ulitoa ukanunua kwa cash unatakiwa utunze purchases receipt. Kwa kifupi ukisoma sheria ya tax administration sehemu inayokwambia aina ya kumbukumbu za kutunza ni kwa sababu ya traceability kama hizi, na sheria nayo sio imejibunia hayo IFRS ya bookeeping inataka hivyo so it’s just accounting kurahisisha auditing.

2. Mtu wa forodha awezi ku overstate gharama ya mzigo wako, viwango vinapangwa na wizara ya fedha, formula ya kukotoa ipo, na una receipt ya manunuzi. Kama Unafahamu unachotakiwa kuwa nacho upande wako hakuna wakukupa tax bill kubwa.

3. Kweli kodi inalipwa kwa kuangalia faida kushukiwa sio kwamba una kosa. Wakija ni kujiridhisha tu hakuna udanganyifu, utaratibu watakafuata ni kufanya audit tu na sheria ipo wazi unatakiwa kutunza kumbukumbu za biashara na kwa muda gani. Ujafuata utaratibu kasheshe hapo sasa sheria inawaruhusu kwenda bank kuomba info kama bank statement na mambo mengine kufuata hiyo ni serious offence.

Ni hivi ume ongea mambo mengi yote yanajibika hakuna wa kukusumbua ukifuata taratibu ata mkopo wenyewe interest zake unatoa kwenye faida. Nina personal writing commitments usiku huu kama mjadala utakuwa active kesho will be back.

👋
Okey
 
Sheria ya kodi ya nchi moja aiwezi kuwa sawa na ya nchi nyingine kila nchi ina target zake za budget, malengo ya kuchochea uchumi na mikakati ya kufanikisha hayo malengo. Pili sheria ya kodi inabadilika kila mwaka serikali inapopeleka budget bungeni.

Sheria za administration ya kodi ndio copy and paste labda, na hadi ufungiwe account ya biashara kwa sheria ya Tanzania (ambayo copy ya U.K) inabidi kwanza wakushuku unakwepa kodi.

Sasa ni rahisi sana kubaini kama huyu mtu anaweza kuwa mkwepa kodi. Aiwezekani maduka mawili ya eneo moja (labda kariakoo), size zinalingana halafu variation ya kodi wanazolipa zina tofauti kubwa sana.

Hata pamoja na kushukiwa wakija kukufanyia forensic audit wakakuta hesabu zako sawa (unafuata accounting standards), umetunza receipt zako na kumbukumbu nyingine muhimu kwa miaka mitano nyuma kama (sheria inavyotaka) na kila kitu kina reconcile hakuna mtu wa kufunga account yako. Wakijaribu ukienda TAKUKURU mziki unageuka kwao.

The only way afisa wa TRA anaweza kukutisha ni pale ambapo wewe hujui mipaka yake ya kazi na wala majukumu ya kutunza hesabu za biashara kwa mujibu wa sheria; vinginevyo hawana lolote kazi yao 100% mwongozo wa sheria hakuna ubunifu binafsi.

Kuhusu incentives kuna misamaha kibao ya kibiashara kwenye uzalishaji, watanzania amtaki kuzalisha nyie mnataka kwenda China tu na kuagiza ready made goods ndio maana amuoni hizo fursa.
Asante kwa elimu,Asante Kwa hekima na busara..Wewe ni mdau wa thamani kwetu wafanyabiashara..

Usisite kutufumbua na kutufungulia Milango na rutuba ya ufahamu

Ina maana kubwa sana
 
Mamlaka ya mapato Tanzania ni chombo muhimu sana ktk kuijenga nchi kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiutamaduni. TRA wana majukumu makubwa ya kukusanya mapato ili kufanikisha ulipaji wa gharama mbalimbali Za kuendesha Serikali (Matumizi,Miradi,Ulipaji madeni yanayokopwa nje na ndani).

Kimsingi sheria Za kodi za Tanzania ni photocopy ya sheria Za kodi toka ktk mataifa yaliondelea kiuchumi kama Uingereza hivyo ni sheria ngumu kwa kuzingatia utofauti wa mifumo ya kiuchumi,Elimu na uwezeshaji.

Miaka michache iliopita Wafanyabiashara,wajasiliamali na Wawekezaji walipitia kwenye ubatizo wa moto kutokana na approach Za ubabe, maguvu. Vilivyoenda sambamba na Uporaji mali,Rushwa na ukosefu wa uadirifu,Makadirio kandamizi.

Maafisa wengi wa TRA na wengine kupitia TASK FORCE walitajirika sana kupitia ukandamizaji,Unyongaji biashara,Uharamia wa kimamlaka..Ufungaji biashara,Ukwapuaji fedha kwenye akaunti za wafanyabiashara. Michakato hii ilipekekea wafanyabiashara wengi kufirisika,kufunga biashara,kujiua,Kukimbia nchi,Kuhamisha biashara na uwekezaji wao.

Mambo yamerudi yamerudi upya sasa..Maafisa kodi,Mameneja na waandamizi wamevaa koti na mavazi mapya ya Tax force. Wafanyabiashara wameanza kuishi kama digidigi, hofu, wasiwasi, huzuni na kukosa tumaini. Maafisa wamegeuka miungu watu. Mfanyabiashara anaamka anakuta EFD zimefungwa,akaunti zimezuiwa.

Kimsingi ktk makusanyo yanayofanyika,Wafanyakazi wasio waadirifu wana chukua robo na zaidi ya mapato kupitia Rushwa na mirungura. Ndio maana wengi wa watumishi ktk TRA wanaishi na kufanya uwekezaji mkubwa (Majumba, Magari, Apartments, Mitambo, Shares, Bonds, Extravagants life) kinyume na uhakisia wa vipato halali. Wengi wanafanya uwekezaji haramu na kutakatisha fedha kupitia ndugu,jamaa,marafiki kukwepa mikono ya dola na kujulikana.

Simu zinapigwa asubuhi,Mchana na jioni..akifika anapewa mkeka wa makadirio Vitisho, usumbufu, ubabe. Mwisho wa siku Rushwa, Mirungura, Vilio.

NINI KIFANYIKE
1: TRA lazima wapanue na kuongeza wigo wa walipa kodi (TRA must widen Tax base).Hili litasaidia sana kuepusha ku suffocate biashara chache zilizopo kwa kuzingatia idadi ya watu na mahitaji ya nchi sasa na baadae.

2: Wafanyakazi waongezwe, TRA is advised to recruit more staff to facilitate down top approach compliance sensitization. TRA inahitaji taaluma mtambuka kusaidia ktk kujenga mahusiano, kuelimisha, ni wakati wa kuwa na Relationship Officers, Relationship Managers, Transformations Officers, Business Advisors, Commercial Consultants. Wenye wigo wa kusaidia weredi ktk compliances badala ya kuwa wakusanya madeni kama Yono au Majembe, Adili..Court brokers..

Wafanyabiashara ni business partners/Affilliates wa nchi,TRA. Sio wezi, Majambazi, Maharamia. They deserve respect, honour, proffessional treatments. Consultative approached zitumike kudai kodi.

3: Review employee rotational strategy. Wafanyakazi wanakua aggressive kuomba na kupokea rushwa pindi wakihamishiwa kwenye vitengo vyenye fulsa dhidi ya vitengo/kanda/Mikoa mikavu.

4:SHERIA ZA KODI ZIFANYIWE MAREKEBISHO ILI KUENDANA NA UHALISIA WA BIASHARA NA MAZINGIRA YA NCHI. Mfano, VAT, PAYEE, SDL, Corporate Tax, Income Tax.

5: Corporate Tax ishushwe kufikia 20% ili kuwezesha ukuaji wa biashara,makampuni,uwekezaji.

6: Kuwe na Category rasmi za kibiashara ktk mifumo ya kodi na kodi zitofautiane. SME, Large Enterprises, Congromerates. Multinational Enterprises, Foreign State Owned Enterprises.

7: Kutokana na unyeti wa kazi ya ukusanyaji mapato na kulindima kwa vitendovya matumizi mabaya ya madaraka,Rushwa na Ufisadi kuundwe idara maaalumu ya ufuatiliaji wa maadili wa watumishi wa TRA nje ya mfumo wa TRA. Ama kuwe na vitengo ktk taasisi kama JWTZ, TAKUKURU ,DPP, etc.

8: Taratibu za kisheria (Mahakama) zifuatwe ktk utekelezaji wa maamuzi ya kufunga biashara,Kufunga Akaunti,Uchotaji fedha toka kwenye akaunti za wafanyabiashara kwa maguvu na ubabe.

9: Consultative Approach zitumike kuwajenga,Kuwasaidia na kuwainua wafanyabiashara ili kuwafanya kuwa more compliants (Voluntary)..Wakue ktk viwango vya ulipaji,waneemeke na kazi wafanyazo..Biashara sio mateso,jehanamu..

10:Misamaha ya kodi zisizolipika itolewe kusaidia kufufua biashara zinazokufa sababu ya malimbikizo makubwa ya kodi,penati na faini..Tuinue uchumi,Tukuze uchumi..

11:Tax incentives na Tax Holidays kwa SME..

12:Mikopo isio ya Lazima isikopwe na wanasiasa kuepuka mzigo mkubwa kwa walipa kodi wachache..Tukope kwenye miradi yenye tija endelevu..Sio miradi ya kisiasa..Makamishna wa kodi wawepo kwenye team za ukopaji kusaidia kutetea na kupigania uhalisia wa viwango na mizigo ya ulipaji..

13:Nguvu kubwa mnoo itumike kwenye kudhibiti upotevu wa mapato kupitia taasisi mbalimbali (CAG report).Hatua kali zichukuliwe kuwatia moyo wafanyakazi na wafanyabiashara wanao kosa usingizi kufanya biashara kwa jasho na damu ili kulipa kodi..
Kwanza nikupongeze kwa andiko lako ambalo umeonyesha nia njema ya kutaka kuwa mlipakodi na si mkwepa kodi. Nami naomba nitoe machache nionayo na nitangulize kwa kusema sina ushirika wowote na tra .
1: Kuhusu wigo wa kodi ni kweli kabisa TRA wanahitaji kuongeza walipakodi ili kuweza fikia malengo ya serikali kwa kuwasajili zaidi walipakodi ili watambulike
2: Naona kuhusu kuajiri serikali kwa kipindi hiki wamejitahidi sana kuajiri tra nakumbuka juzi kati humu humu tuliona wadau wakiongelea kuhusu usahili wa TRA. Najua inaweza kuwa idadi si ya kutosha ila niwapongeze serikali angalau kwa hilo kidogo wamejitahidi. Mimi nafahamu ndani ya tra kuna taaluma mbalimbali maana kuna vitengo tofauti mbali na wengi tujuavyo , kuna mpaka maafisa mahusiano ( Public Relation Officers) na hata hao wakusanya kodi wapo mpaka wanasheria, wahasibu, watu wa tafiti n.k
3:Kuna idara moja wanaiita idara ya maadili kama sikosei jina wanayo inahusika na maadili ya wafanyakazi wao
4: Nakubaliana na wewe kabisa sheria za kodi japo kila mwaka zinafanyiwa marekebisho labda kutokana na hali ya uchumi wa sasa ziangaliwe kwa namna ya kipekee hasa kiwango cha VAT na payee. SDL walibadili kwa kupunguza kiwango na idadi ya wafanyakazi na tunashukuru shule zote hawalipi sdl.
5: Nadhani kipengele cha 6 tayari hili jambo tayari walishalifanyia kazi siku nyingi. Mana kuna walipakodi wadogo ambao hata makadirio wanafanya kwa kulingana na mauzo yao ambapo kuna viwango maalum, ila kuna wa kati ambao wanatumia efd na wakubwa ambao wao wanatengeneza hesabu na kulipa kulingana na faida.
 
TRA inapaswa kuwa mbia anaelea wafanyabiashara..mazingira ya kufanya biashara na kukua kibiashara yana magumu mengi sana sana..it’s takes extraordinary courage and patience to overcome and sustain..

Biashara zinafungwa..Watu wanakosa ajira na riziki,Nchi itakosa mapato..SME ni backbone ya uchumi hasa ktk mataifa yanayoendelea..

Tusiruhusu biashara zikafa sababu ya kukusanya kodi ili kufikia malengo ya ukusanyaji..Busara Za kiuchumi zatakiwa..Tuwakuze,Tuwasaidie,Tuwainue Hawa wakwamao ktk kulipa kodi ama kushindwa kufanya compliance Kwa namna moja au nyingine..

Na Hawa vijana wapya mlioajiri Waache haraka ya kutaka utajiri na kumiriki assets Kwa mgongo wa kuumiza wafanyabiashara..
 
Back
Top Bottom