Serikali inatambua mchango wa Kanisa - Waziri Mkuu Nchemba

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
628
Reaction score
431
Serikali inatambua mchango wa Kanisa na baba Askofu. Kila tunapotaja maendeleo ya nchi yetu, kuanzia mwanzo mpaka hapa tulipofika, hatuwezi kuyataja kwa kina maendeleo hayo bila kutaja mchango wa Kanisa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

📍Mpanda - Katavi.
🗓️ Agosti 30, 2026.
————————————————
Amesema hayo katika maadhimisho ya Jubilee ya Miaka 25 ya Jimbo Katoliki la Mpanda, yaliyofanyika kwenye shule ya Sekondari ya St. Marry, Katavi.
 

Attachments

  • VID-20260830-WA0190.mp4
    9 MB
Back
Top Bottom