waziri mkuu nchemba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Serikali inatambua mchango wa Kanisa - Waziri Mkuu Nchemba

    Serikali inatambua mchango wa Kanisa na baba Askofu. Kila tunapotaja maendeleo ya nchi yetu, kuanzia mwanzo mpaka hapa tulipofika, hatuwezi kuyataja kwa kina maendeleo hayo bila kutaja mchango wa Kanisa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Mpanda - Katavi. 🗓️ Agosti 30, 2026. ————————————————...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania LIVE: Waziri Mkuu Nchemba Katika Jubilei Miaka 25 Mpanda

    https://www.youtube.com/live/f0qUr8D3buA?si=9YnTGIabH5P-V7hB LIVE: Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Agosti 30, 2026 ni Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 25 ya Jimbo Katoliki la Mpanda. Maadhimisho hayo yanafanyika katika Viwanja vya Shule ya Sekondari ya St. Marry...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Eid Al Adha Mubarak kutoka kwa Waziri Mkuu Nchemba

    EID AL ADHA MUBARAK Ninaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuwatakia Waislam na Watanzania wote sikukuu njema ya Eid. Tusherehekee sikukuu hii kwa utulivu huku tukidumisha upendo, mshikamano na amani kwa maslahi ya Taifa letu. Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Nchemba awasili Nyumbani kwa Lukuvi, Idodi Iringa

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasili nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), na Mbunge wa Jimbo la Isimani, Marehemu Mhe. William Lukuvi, Kijiji cha Idodi mkoani Iringa kuongoza...
Back
Top Bottom