Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 11,332
- 17,835
- Thread starter
- #81
Huu ujumbe wako umenifikirisha sana mkuu.Mgombea wa Chadema Kongwa kavamiwa na watu wakamnyanganya begi ambalo lilikuwa na copy ya fomu. Hivyo original form ilikuwa salama. Kesho yake mgombea wa CDM akaipeleka kwa msimamizi ikapokelewa.
Ona kichekesho:
Job akaweka pingamizi kuwa FOMU ILIIBIWA SASA HII ULIYORUDISHA UMEIPATA WAPI?
Maana yake nini:
Job anajua fika kuwa fomu imechukuliwa ... hivyo aliwatuma yeye kufanya aborted kitendo hicho cha uvamizi!
Kama alitangaza fomu yake imeibiwa basi alitaka kusababisha taharuki, naona kama kuna kutafuta umaarufu na kuchafuana tu kwenye tukio hili.
Kosa la aliyeweka pingamizi ni mwanasiasa, ilitakiwa jeshi la polisi lifanye uchunguzi kama mgombea aliyedai kuibiwa nakala ya fomu alisema ukweli au aliongopa kuchochea vurugu.
Kama mwongo hii ni jinai.