Series (Special thread)

Najuta kudownload treadstone bila kuchek continuation yake. Mzigo kumbe ulikua cancelled Season 1 goddamnit!
 
Nahisi nje kutakua na maisha ya kawaida. Na sijui kama mule ndani ya silo hamtatokea vurugu
Kwa ilipoishia ep 8 mambo ni matamu, Jules sijui atawakwepa vipi Judicial maana sio kwa betrayal ile kutoka kwa Mayor, na kama nje ya SILO kupo kawaida mbona wote walioenda ku clean hawakurudi hadi yule Sheriff wa mwisho ni kama alivuta hewa mbaya akafa.
 
Alafu ninachoipendea hii series ni kwamba huwezi jua mbele itakuaje aloo
Naam, haitabiriki ni kusubiri tu hatma yake, maana Jim anahisi kama wamewekwa sehemu kujaribiwa akili zao na kuna watu wanawatizama, Randal anahisi ni game inachezwa na hao creatures sio halisi na hata waliokufa hawajafa, rejea alipomuuliza Sara kama kaka ake alikufa kweli au yupo hai, mambo ni
 
Kwa ilipoishia ep 8 mambo ni matamu, Jules sijui atawakwepa vipi Judicial maana sio kwa betrayal ile kutoka kwa Mayor, na kama nje ya SILO kupo kawaida mbona wote walioenda ku clean hawakurudi hadi yule Sheriff wa mwisho ni kama alivuta hewa mbaya akafa.
No, inawezwkana vedio wanayoona ndani haina uhalisia. Na inawezekana ile hewa wanayowapa wakiwatoa nje ndo ina sumu. Ndiyo maana aliuliza kuna yoyote kati yao amejaribu kuvua mask? Sherif alipoanguka kwa mkewe wakatukatisha ahapakuendelea. Kuna yule jamaa anaekaa kwenye kitchen kuna sehemu anauliza mbona naona kama kuna light nje kila usiku ukiingia?. Hii serie ni kama series ya the 100 au kuna muvie imaitwa maze runner
 
Hiyo series ipi?
 
Hapo kwenye hewa wanayowapa ina sumu na mimi naamini, ni kweli hii ni kama the 100, ngoja tuone yajayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom