Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,262
- 18,251
Nishaimaliza kitamboNani anaangalia The Last Of Us
Nishaimaliza kitamboNani anaangalia The Last Of Us
Vipi ni nzuriNishaimaliza kitambo
Sisi wengine mwendo wa kobe ndiyo tunamalizia Season 1. Ila Donna nimemkubali sana yule bi. mkubwaFROM ep 9 out,
Nimetoka kuangalia muda huu, niwaspoilie?![]()



Mkuu kuna yule mshikaji mmoja mawenge sana...!!! Jina limenitoka kidogo ila nae sio poa kaitendea haki sana hii seriesFROM hata ingekuwa ina runtime ya masaa mawili naangalia na bado nitaona imeisha haraka. Harold Perrineau ( Boyd ) apewe tuzo aisee jamaa alichanganyikiwa wakati ile damu ya mzee Martin ipo mwilini mwake dah.
Keny na mama yake ikabidi waache kumkasirikia waanze kumuhurumia.![]()
Yes ni nzuri sana kwa kweli japo wengine wanasema imepooza ila ssn 2 itakuaVipi ni nzuri

zaidi, huenda ikajibu maswali yetuDah kama upo ssn 1 basi sikuspoilie, maana ssn 2 ndio balaa zaidi, kuna balaa jipya limekuja linawafata hadi kwenye ndoto, kishakufa mmoja kwenye ndoto kwa hiyo sasa hivi hakuna kulala,Sisi wengine mwendo wa kobe ndiyo tunamalizia Season 1. Ila Donna nimemkubali sana yule bi. mkubwa



Upo kama mimi, hua naona inaisha haraka sana kama ep 9 jamani naona maandishi i was like WTH!! Ndio hivyo tena tusubiri next week 🥲Bado episode 1 tu FROM iende break hadi season ijayo yena.
Ndio series pekee ambayo huwa naangalia huku nacheki muda maana kama huwa inaisha haraka sana.
Inahusiana na nini?Yes ni nzuri sana kwa kweli japo wengine wanasema imepooza ila ssn 2 itakuazaidi, huenda ikajibu maswali yetu
Nimeicheki episode ya 9 mpk nimepata wenge jamaa Yako mwenye wenge kaliwa na cicada's,cicada zinakula watu kuna ndoto kuhusu mtoto,watu wanakufa ndotoni alooUpo kama mimi, hua naona inaisha haraka sana kama ep 9 jamani naona maandishi i was like WTH!! Ndio hivyo tena tusubiri next week 🥲
Mkuu kuna yule mshikaji mmoja mawenge sana...!!! Jina limenitoka kidogo ila nae sio poa kaitendea haki sana hii series
Nilivyo sio mzuri wa kuelezea sasaInahusiana na nini?

Nilifurahi alivyoliwa alikua ananikera sana mtu gani anaambiwa haelewi,Nimeicheki episode ya 9 mpk nimepata wenge jamaa Yako mwenye wenge kaliwa na cicada's,cicada zinakula watu kuna ndoto kuhusu mtoto,watu wanakufa ndotoni aloo
Inahusu nini???Kuna hii series inaitwa SANTO siyo mbaya pia.
Kuna Kule njiani asee, kulikuwa ni nomaNilivyo sio mzuri wa kuelezea sasa
Yaan ni Mazombie lakini Mazombie yao sio Virus ni Fungas, kwa hiyo mji wote unapata hilo janga, waliopona waliwekwa sehemu ili wasiambukizwe,
Sasa kuna binti anaitwa Ellie yeye damu yake inasadikika ni cure wa hiyo fungas maana aling'atwa hakubadilika kwa hiyo jamaa anaitwa Joel anapewa kazi ya kumpeleka kwenye military hospital ili binti achukuliwe sample, hadi kufika hapo sio route ndogo ni purukushani nyingi wanazipitia hatimae wanafika na kugundua kumbe binti anatakiwa afe, yule mzee anakataa kukubali hiyo kitu anamtorosha na kuua wanajeshi wote..... Tunasubiri ssn 2 hatma yao.
Drug dealer mmoja anaitwa Santo anatafutwa na serikali za uhispania na El Salvador ana tumia damu ya watoto kunywa ili asikamatwe na vyombo vya Dola ...Inahusu nini???
Sipendi movie za mazombie ila kwa namna ya story yake ulivyonielezea inaelekea ni nzuri nitaitafuta shukrani sanaNilivyo sio mzuri wa kuelezea sasa
Yaan ni Mazombie lakini Mazombie yao sio Virus ni Fungas, kwa hiyo mji wote unapata hilo janga, waliopona waliwekwa sehemu ili wasiambukizwe,
Sasa kuna binti anaitwa Ellie yeye damu yake inasadikika ni cure wa hiyo fungas maana aling'atwa hakubadilika kwa hiyo jamaa anaitwa Joel anapewa kazi ya kumpeleka kwenye military hospital ili binti achukuliwe sample, hadi kufika hapo sio route ndogo ni purukushani nyingi wanazipitia hatimae wanafika na kugundua kumbe binti anatakiwa afe, yule mzee anakataa kukubali hiyo kitu anamtorosha na kuua wanajeshi wote..... Tunasubiri ssn 2 tujue hatma yao.
Hutojutia na hayo mazombie hayajawekwa kiviile, zaidi story imebase kwa Ellie na Joel mwanzo walikua wanachukiana baadae wakatengeneza bound ya Baba na Mtoto maana Ellie alimpoteza Mama na Joel alimpoteza Binti yake, wanavyosaidiana, misuko suko humo safarini, wanavyopiga story, ni nzuri sanaaaaSipendi movie za mazombie ila kwa namna ya story yake ulivyonielezea inaelekea ni nzuri nitaitafuta shukrani sana