Nilivyo sio mzuri wa kuelezea sasa

Yaan ni Mazombie lakini Mazombie yao sio Virus ni Fungas, kwa hiyo mji wote unapata hilo janga, waliopona waliwekwa sehemu ili wasiambukizwe,
Sasa kuna binti anaitwa Ellie yeye damu yake inasadikika ni cure wa hiyo fungas maana aling'atwa hakubadilika kwa hiyo jamaa anaitwa Joel anapewa kazi ya kumpeleka kwenye military hospital ili binti achukuliwe sample, hadi kufika hapo sio route ndogo ni purukushani nyingi wanazipitia hatimae wanafika na kugundua kumbe binti anatakiwa afe, yule mzee anakataa kukubali hiyo kitu anamtorosha na kuua wanajeshi wote..... Tunasubiri ssn 2 tujue hatma yao.