Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,262
- 18,251
Nani anaifatilia SILO?
Kuna muda natamani niiache ila inazidi kunoga dah inanichanganyaaaa
Kuna muda natamani niiache ila inazidi kunoga dah inanichanganyaaaa
Bonge moja la series nipo episodes ya 6Nani anaifatilia SILO?
Kuna muda natamani niiache ila inazidi kunoga dah inanichanganyaaaa
Ep 7 imetoka, nina kimuhe muhe cha kutaka kujua outside of SILO kuna nini ila nahisi hadi ssn 1 inaisha story itabaki huko huko kwenye SILOBonge moja la series nipo episodes ya 6
Season 1 ina episodes 10 lakin bado tutaachwa kwenye mafumbo mengi sanaEp 7 imetoka, nina kimuhe muhe cha kutaka kujua outside of SILO kuna nini ila nahisi hadi ssn 1 inaisha story itabaki huko huko kwenye SILO
TRANSPLANTHouse MD
Scrubs
Monday Mornings
Kama mimi aisee, za Mazombi hapanaDuh, tunatofautiana sana, hizi kitu za Mazombie hapana asee...
Za Kikolea zile za pori pori like Slave hunter ziko poa sana. Nyingine ni military series like Iris...
Give them a tryKama mimi aisee, za Mazombi hapana
Squid Game niliangalia yote, ipo poa.Train to Busan 2016 ni movie ya mazombie but iko poa kuliko Hollywood movies nyingi za miaka hii. Kwa miaka ya sasa ni ngumu kukuta movie kali kama Train to Busan
Labda uwe unajilimit mwenyewe kwa kujiwekea sheria ya kutoangalia hivi vitu but siku ukija kutulia na kuangalia lazima utazipenda tu
Na Squid Game nayo vipi, maana sio ya mazombie
Andika jina, picha hazifungukiWanaopenda ujasusi huu mzigo ni noma View attachment 2655129
Spy/masterAndika jina, picha hazifunguki
Ngoja niipakue, taleta mrejesho. Asante ndg yngSpy/master
Squid G nimeangalia japo kwa tabu sana hata train to busan...Train to Busan 2016 ni movie ya mazombie but iko poa kuliko Hollywood movies nyingi za miaka hii. Kwa miaka ya sasa ni ngumu kukuta movie kali kama Train to Busan
Labda uwe unajilimit mwenyewe kwa kujiwekea sheria ya kutoangalia hivi vitu but siku ukija kutulia na kuangalia lazima utazipenda tu
Na Squid Game nayo vipi, maana sio ya mazombie
Train to Busan umeiangalia kweli?Squid G nimeangalia japo kwa tabu sana hata train to busan...
Kuna black knight pia naingalia kwa suasua xana nikikosa cha kuangalia licha ya kuwa na Ep6 tu.. zile jokes ndio zinanifanya nishindwe kuangalia izi movie na takriban movie zote za korea zina (jokes).characters wanakuwa kama wajinga wajinga ivi.
By the way nimeangalia kdramas nyingi sana miaka ya nyuma ila kwa sasa hapana.
Huo ujinga ujinga wa wakorea na kijifanya ma komedian uwa una kera sanaSquid G nimeangalia japo kwa tabu sana hata train to busan...
Kuna black knight pia naingalia kwa suasua xana nikikosa cha kuangalia licha ya kuwa na Ep6 tu.. zile jokes ndio zinanifanya nishindwe kuangalia izi movie na takriban movie zote za korea zina (jokes).characters wanakuwa kama wajinga wajinga ivi.
By the way nimeangalia kdramas nyingi sana miaka ya nyuma ila kwa sasa hapana.
Mkuuu unatuma app gan kushusha mizigo mkuuWanaopenda ujasusi huu mzigo ni noma View attachment 2655129
One stream itafute Google searchMkuuu unatuma app gan kushusha mizigo mkuu
Powa maaana app zingine wanakula sana bundleOne stream itafute Google search View attachment 2656073