Series (Special thread)

Series (Special thread)

IMG_7502.jpg

IMG_7503.jpg

Phase 1 completed
 
Nakubaliana na wewe ndugu,matukio mengi wamefanya rahisi rahisi sana mpaka inapoteza utamu wa kuangalia….Hata rabitt hole nayo matukio mengi wameweka rahisi rahisi sana….mfano jamaa anatafutwa kwa mauji picha yake ipo kila kona mpaka kwenye tv bado anaenda polisi kirahisi rahisi tu na kutoka.
Yaani hii series Night Agent, kina Peter wanaingia White House kama wanaingia na kutoka darasa la mwalimu wa darasa la 2 B, no upinzani, hakuna ukaguzi mkali wala nini. Mifumo ya computer inafunguliwa kirahisi....

Kama kuna Season 2 wajitahidi kuwa wabunifu na wacomplicate matukio...
 
Yaani nilisikitika kuona Peter anatoroka kutoka Ikulu kizembe Sana..eti anakimbia na kubamiza milango kifala vile..ule Ni utoto..sio mbaya lakini siwezi kurudia kuiangalia..
 
Ile ya kumteka raisi ndo ilikua mbovu kabisa raisi wa marekani unamteka kirahisi namna ile angalau wangeweka changamoto kidog
Pale walizingua mbaya...yaani kwa mifumo migumu ya US rais anaenda Camp David easily, mabom yapo ndani na kwa helicopta undetected mpk Peter anatokea?

Ni movie yes, but kwa dunia ilipofikia mbali ktk ulinzi tena kwa US walihitaji kufanya more!

But kaseries kazuri for biginners, ila sie maconc wa kuangalia series ngumu ngumu na movies smart ka Sicario, Jason Bourne, Salt, The Americas, n.k Asee tutaidis tu!
 
Kuna sehemu nilicheka sana, wakati peter anatoroka ikulu, peter alipita chini kwa chini (basement) akatokea mlango upo mtaani kbsa... Hata kama ni movie haipaswi kuwa kutoroka ikulu ni rahisi vile
Yaani Ikulu ya Marekani mlango upo Kariakoo sokoni na hauna ulinzi hata wa Camera tu
 
Yaani hii series Night Agent, kina Peter wanaingia White House kama wanaingia na kutoka darasa la mwalimu wa darasa la 2 B, no upinzani, hakuna ukaguzi mkali wala nini. Mifumo ya computer inafunguliwa kirahisi....

Kama kuna Season 2 wajitahidi kuwa wabunifu na wacomplicate matukio...
Wewe unadhani ikulu haziingiliki kirahisi? Usiaminishwe mambo makubwa sana wakati mambo yenyewe ni ya kawaida.

Oalitokea kijana wa hovyo akawatumia walinzi wa ikulu kuvamia studio sasa unadhani kijana huyo hakuwa na uwezo wa kuingia ikulu atakavyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom