Hata Jack Ryan nayo ni kama walikosa story....
Kwamba Convoy inatembea na Nuke, haifatiliwi na polisi wala nini
Kwamba Nuke imelipuka kwenye daraja ila madhara hayajatokea kwa watu wa maeneo husika
Kwamba Rais wa Czech anaenda Moscow bila hata msaidizi
Kwamba Tunnels za Moscow zipo bila ulinzi hadi watokea Ikulu
Kwamba CIA wanabeba silaha ndani ya Czech
Kwamba Rais anatekwa na hakuna anayejihangaisha mtafuta, hadi anajinasua mwenyewe
Kwamba Jack anaweza enda mchi yoyote ile na kufanya analotaka na hakamatwi
Sent from my M2006C3LG using
JamiiForums mobile app