Aisee am speechless Barikiwa sana hapa ndio nimeelewa vizuri kabisa bila ya swali la nyongezaHivyo ndio kudownload kwa kutumia kupirate kunafanya kazai.
Kwa anayetumia android basi atafute hizi application zitamrahisishua sana.
TORRCROW ( hii ni search engine ya torrents, ina websites zote za torrents )
FLUD , UTORRENT au BITORRENT ( torrents downloader )
Tumia 1337x.to... kabla fanya kwanza kudownload bittorrent install halafu fanya iwe default torrent...baada ya happo ingia 1337x.to search hiyo series halafu fanya magnet download utakuwa directed kwenda kwenye bittorrent... ni vizuri pia kabla ya kudownload ukaangalia na idadi ya seeders...hiyo itasaidia kwenye muda utakaotumia kudownloadAisee am speechless Barikiwa sana hapa ndio nimeelewa vizuri kabisa bila ya swali la nyongeza
Naitafuta sana Series moja inaitwa (Tehran) naweza ipata kupitia process ulizofafanua au?
Ezio Ezio
Hii ngoma ni ya moto sanaWednesday View attachment 2503425
Ahsante sana Kiongozi wangu,barikiwa 🙏Tumia 1337x.to... kabla fanya kwanza kudownload bittorrent install halafu fanya iwe default torrent...baada ya happo ingia 1337x.to search hiyo series halafu fanya magnet download utakuwa directed kwenda kwenye bittorrent... ni vizuri pia kabla ya kudownload ukaangalia na idadi ya seeders...hiyo itasaidia kwenye muda utakaotumia kudownload
Hii niliishia season 1, ngoja niendelee nayo.Nipo nairudia tena Under The Dome.
Ina mkono?I recommend mini series inaitwa Anatomy of a scandal. Show moja kali sana, just 6 episodes.
Tehran ishushe netnaija....ila ya kiboya sijaipenda binafsiAisee am speechless Barikiwa sana hapa ndio nimeelewa vizuri kabisa bila ya swali la nyongeza
Naitafuta sana Series moja inaitwa (Tehran) naweza ipata kupitia process ulizofafanua au?
Ezio Ezio
Sio kila series lazima iwe na mkono wengine wanapendea uzuri wa storyIna mkono?




The terminal list nimeiangaliaHuyo jamaa hanaga mambo mengi, yeye ni mkono tu na movie za mission kama Red Notice, we unamwambia story yeye hakuelewi kabisa
Kama unajua series yenye mkono mtajie tu la sivyo utamchomea mwenzako bando bure
Kuna series inaitwa The Terminal list, ni action ila sijapata kuiona. Siku nikitulia lazima niicheki

Sio kila series lazima iwe na mkono wengine wanapendea uzuri wa story
Wewe wasema 😁😁😁😁😁Huyo jamaa hanaga mambo mengi, yeye ni mkono tu na movie za mission kama Red Notice, we unamwambia story yeye hakuelewi kabisa
Kama unajua series yenye mkono mtajie tu la sivyo utamchomea mwenzako bando bure
Kuna series inaitwa The Terminal list, ni action ila sijapata kuiona. Siku nikitulia lazima niicheki