Series (Special thread)

Series (Special thread)

An MI6 deputy's bright future takes a sharp turn after a reunion with a Russian spy forces him to question his entire life and which side he truly wants to side with in a looming conflict.View attachment 2459376

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
The first episode reminds me of what might have happened in 17/march/2021. Or few days before the above date
 
Mzigo tayari.
Sasa nione matunda ya mbs zanguView attachment 2466330
Screenshot_20230102-093849.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikiliza watu wa humu sio kwamba wanajua series hapana ni vile ameona hakuna vitu anavyovitaka viwemo kwenye iyo series. So wewe usibishane nao maana ukimuuliza yeye tutajie series yako Bora ambayo haina makosa utacheka maana hakuna series yoyote duniani ambayo haina makosa ila anataka akiichukia yeye na wewe uichukie kwa namna yoyote
Upo sahihi. Mtu anatazama series akiwa na matarajio yake au anatamaza kwa ajili ya kulinganisha.
 
Nimemaliza Treason...ya kawaida sana.Ngoja sasa nikae humu
Kaka treason sio ya kawaida ,Ni series nzuri Sana labda useme unapenda kuona watu wanapigana kwa mapanga but Ni bonge la series,story imekaa poa sana even if inafanana kidogo na uhalisia wa director wa fbi wa kipindi Cha nyuma ambaye alikuwa na file la kila mtu mkubwa mwenye wadhifa then anatumia hizo details kwa ajili ya kuwa na nguvu kwenye system ndicho alichokuwa anafanya director wa MI6 kwenye treason
 
Story nzuri ila wangejitahid kukaa kwenye uhalisia

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Wadau naomba kufaamishwa, je? hizi ni 'series' mbili tofauti!
Kama ndio naomba 'link ' ya kupakuwa hii series ya juu.
XRecorder_06012023_161443.jpg

XRecorder_06012023_161342.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom