Series (Special thread)

Series (Special thread)

hahah amna boss it's very different from the name, we iangalie tu utaelewa sitaki kuwa spoiler, ila weka subtitles au vaa earphones maana english ya wale wazungu ni brit...
Black mirror for the weekend..jumapil flan tulivu...sisi tunaopenda black American movie at least hii (nimeona cover sijui kilichomo) ngoja nitafute muda nayo.
 
Angalizo wakuu uziri wa movie ni mtazamaji, usiangalie sinema kwa kuwa imekuwa recomemded na mtu unless alokwambia anajia unapenda sinema za aina gani kila movie ina genre na audience tofauti tofauti mfano binafsi sijawahi kuzipemda wala kuangalia Vampire diaries, walking dead , izombie na the likes ila kuna watu huwaambii kitu kuhusu aina hizo za senema.
 
Sure
 
hahah amna boss it's very different from the name, we iangalie tu utaelewa sitaki kuwa spoiler, ila weka subtitles au vaa earphones maana english ya wale wazungu ni brit...
..ngoj nitaishusha episode 1 nijaribu
 
Naielewa sana black mirror hasahasa ile s 04 ep06" black museum"
nishawaambia kwa wanaojua movie Industry, yani sio unaangalia tu kitu ilimradi, tunaangalia uandishi, tunacheki ratings na tunacheki awards, so angalieni hizi series ukichukia ntafte nkupe 10k

.Breaking Bad
.Black Mirror
.Peacky Blinders
.Better Call Saul
 
Breaking bad ni the best miaka yote
 
Guys kati ya Suits na Power ipi nianze nayo??
maana nina fautilia Empire,GOT,Designated survivor na Agent of marvel
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom