Series (Special thread)

Series (Special thread)

Naona hawajataka kutuweka sana na ni bado masaa 20 Tu Mzigo wa Vikings: Valhalla uachiwe
 
Attachments

  • Screenshot_2023-01-11-11-46-10-298-edit_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_2023-01-11-11-46-10-298-edit_com.android.chrome.jpg
    95.7 KB · Views: 50
Sijui shida Nini..yaani Vikings nimeangalia Hadi season 3..AaGOT niangalia Hadi season 3.. lakini sijazipenda kabisa..nilianza kuangalia see..nilipoona Ni zilezile za history..nikaipotezea..
Series ya mapanga niliyoikubali Ni Jumong pekee..
Kwakweli nimeamua kuukubali ukweli hizi sio Kila aina series utaipenda..
 
Mkuu kuna hii link unadownload hata GB nzima kwa dakika zisizo zidi 6 wewe ndio ulishea? View attachment 2478461

Ila ukitumia sites nyingine hata file la 200MB unatumia muda mrefu nini siri ya mega?
Mega wao links zao huwa hawaachi hadi zina expires, servers zao muda wote zinafanyiwa updates na maintenance ya maana ndio maana chochote kile mega kinakimbia sana.

Nawakubali sana hawa jamaa.
 
Mega wao links zao huwa hawaachi hadi zina expires, servers zao muda wote zinafanyiwa updates na maintenance ya maana ndio maana chochote kile mega kinakimbia sana.

Nawakubali sana hawa jamaa.
Nikitaka file fulani kulitafuta huko inakuwaje? Au mpaka msamalia mwema aliweke kwanza huko?
 
Nikitaka file fulani kulitafuta huko inakuwaje? Au mpaka msamalia mwema aliweke kwanza huko?
Nadhani wao wanatoa tu huduma ya cloud servers so kama ikitokea site husika wana akaunti kule mega vitu vyao wanavi upload kwenye servers za mega.

Mtumiaji akiingia kwenye zile site akitaka kushusha kitu ndio anapewa link ya mega so mega ni kama stoo tuseme.

Mediafire nao wanajitahidi ila speed yao haieleweki.

Cloud servers nyingine ni kama
DROPBOX
ID DRIVE
ICLOUD
GOOGLE DRIVE
PDRIVE n.k
 
Sijui shida Nini..yaani Vikings nimeangalia Hadi season 3..AaGOT niangalia Hadi season 3.. lakini sijazipenda kabisa..nilianza kuangalia see..nilipoona Ni zilezile za history..nikaipotezea..
Series ya mapanga niliyoikubali Ni Jumong pekee..
Kwakweli nimeamua kuukubali ukweli hizi sio Kila aina series utaipenda..
Game of throne one of the best series on the planet, kuna vitu vingi sana vinavutia zaidi ya mapanga hebu kaa tena fuatilia story line vizuri namna wanavyo zungumza characters , kila character ni noma
 
Ndio mega ni free kwa 20GB tu zaidi ya hapo unalipia.

Mfano 192TB kwa mwaka ni USD 305
 
Gotham Knights trailer... What u guys think?

Naona ni kama vibe la original Gotham tu and it's dark as usual.

Sent from my VS988 using JamiiForums mobile app
 
Nimeicheki ipo powa sana Una nyingine inayofanana na drive to survive mkuu
Ambazo zinahusu magari sidhani kama zipo nyingine mkuu

Ila kama unapenda kuona behind the scenes za sports ipo moja nzuri sana ya Amazon inaitwa All or Nothing

All or Nothing: Manchester City msimu wao wa 17/18
All or Nothing: Tottenham Hotspur msimu wa 19/20
All or Nothing: Arsenal 21/22
All or Nothing: juventus

Na wamefanya pia ya timu za taifa za Germany na Argentina mwaka 2022 kwenye world cup
 
Game of throne one of the best series on the planet, kuna vitu vingi sana vinavutia zaidi ya mapanga hebu kaa tena fuatilia story line vizuri namna wanavyo zungumza characters , kila character ni noma
Huyo anapenda kuoigana sio muangaliaji mzuri wa mambo mengine maana kama unacheck series Kweli huwezi ukaiacha The GOT
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom