Series (Special thread)

Series (Special thread)

mimi huwa nina pirate kama ilivyo kwa watu wengi humu . Sijawai na hata sijui wanalipiaje hizo Apple + , Netflix, HBO Max, Amazon Prime na streaming services nyinginezo
Ata mimi nimetafuta sana hiyo Apples 🍎 TV+ sina natumia NETFLIX siku zote, Iyo PIRATE inapatikana wapi? Nielekeze kwa faida ya alieuliza na wengine wasiojua kama mimi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom