Series (Special thread)

Series (Special thread)

Aliye recommend series ya barry abarikiwe sana.

Naomba series nyingine inaoendana na maudhui kama ya barry
 
Attachments

  • p15032712_b_v11_aa.jpg
    p15032712_b_v11_aa.jpg
    315.8 KB · Views: 13
Fargo nmeicheki hadi ya tatu...ziko poa ngoja ni malizie season zilizobaki.
Unaweza kucheki
1. Your honor ,🔥🔥🔥
2. True detectives
3.beef
4. Big mistakes(ina upinde kwa mbali)
5. Dexter resurrection 🔥🔥🔥🔥🔥
6. Dexter new blood
7 defending jacob🔥🔥🔥

Na nyingine nineisahau kama nilivyo andika hapo juu kuna jamaa anaganya kazi na magenge ya kihalifu sasa inatikea mkuu wa genge moja anamoiga mtu mmoja huku bus ka watoto wa shule linaoita akarekodiwa na video yake kusambaa mitandaoni

Ikalazimika atafute namna atokomee kusiko julikana. Sasa wakati anatorishwa aliwekwa kwenye buti na akafia humo

Jamaa aliye mbeba akawa na heka heka za kuficha mwili huku members wa genge wakitaka kujua bosi wao yuko wapi?
 
Inaitwa Nobody au sio???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom