Series (Special thread)

Series (Special thread)

Fauda 4
Imekuwa nzuri

Mkuu wa Mossad kadanganywa na kijana aliyemkuza kama informant.....
Mwisho kauliwa kimakosa

Mwili umepelekwa Lebanon

Mossad wanatafuta mbinu ya kumrudisha
Fanya mpango wa link tuipakue.kila chimbo nikicheki sijaipata bado
 
Nipo nimepata series ya tulsa king ya stallone na nyingine echo 3..najiuliza nianze na ipi
 
Nianze naipi kati ya hizi?

IMG_0264.jpg

IMG_0265.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom