Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kuna series flani Jina nimesahau lakini jamaa alikuwa ni mmiliki wa kampuni moja ya kutengeneza mvinyo baadae kampuni yake ikafilisika akatangaza kuiuza Kisha akaajiliwa na mtu huyo alonunua kampuni... Ni series kali Sana
 
Nitajie series za hivi karibuni ambazo zinakufanya usinyenyuke mahali ulipokaa mpaka utafune vipande vya kutosha vya episodes
NOTE SIPENDI LADHA ZA KINA GAME OF THRONES
Game of Thrones na na Sci-Fi au fiction movies huwa sinaga mchongo nazo

Terminal list
Reacher

Umezicheki hizo series?

Itafute na MAID

Hiyo maid ni story haina makeke kama hizo hapo juuu
 
Game of Thrones na na Sci-Fi au fiction movies huwa sinaga mchongo nazo

Terminal list
Reacher

Umezicheki hizo series?

Itafute na MAID

Hiyo maid ni story haina makeke kama hizo hapo juuu
Terminalist nimeshaimaliza reacher naendelea nayo maid sijaiona bado nyingine?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom