Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hahahaha yule mwehu nasubiri imalizike yote ndio nishushe ili nikiwa naangalia nisiwe nasubiria kila baada ya week

Wewe kama mimi huyu mwehu nasubiri amalizie bila shaka wiki ijayo itakuwa tayari maana leo anatoa ya tisa...ila jamaa ni hatari sana anajua kudeal na rat a.k.a snitchs
 
Wewe kama mimi huyu mwehu nasubiri amalizie bila shaka wiki ijayo itakuwa tayari maana leo anatoa ya tisa...ila jamaa ni hatari sana anajua kudeal na rat a.k.a snitchs
Yeah! Mkuu anajua kudeal nao na akishakujua hayo maamuzi yake utasema huyu ni chizi sio mzima 😃😃
 
Kwenye series ya LOST kuna mambo ya ajabu sana ndani ya kile kisiwa nikikumbuka nabaki kushangaa tu:

1. Kwanza kisiwa hakipo kwenye ramani. Yani unajikuta tu umetokea.

2. Ukiingia hamna kutoka. Japo watu baadae waliweza kutoka baadae.

3. Hauwezi kuumwa ukiwa ndani ya kisiwa.

4. Wanawake wote wanaopata mimba ndani ya kisiwa wanakufa.

5. Sheria za physics hazifanyi kazi kabisa mule ndani.. kwa mfano unaweza ukarusha jiwe juu likachelewa au likawahi kufika.

6. Kuna jamaa kazaliwa miaka ya 1800 lakini hazeeki.

7. Kuna huyo mtu ambae haonekani.

8. Kama ulikuwa unaumwa ugonjwa wowote ukiingia ndani ya hicho kisiwa tayari ushapona!

Hatari sana.. ongezea jambo lililokustahajabisha kwenye hii series kama umewahi kuicheki.
Nzur sana season 1 Hadi 4 inatosha kabisaa, mzee John Lock nlimkubal sana
 
Season 1 mpaka season 4 ya Lost, ni hatari sana.. dah umenikumbusha mbali sana, Kate na mzee Sawyer, good old days.. zilizoendelea niliishia njiani kwakweli, ile time travel ilinishinda
Sahihi, ukichek 1 Hadi 4 inatosha kabisaa. Kunae Michael na Kijana wake Walt
 
No Man's Land
Hit and Run
What Happened To Oslo / The Girl From Oslo
The Berlin Station
The Spy
Caliphate
When Heroes Fly
La Unidad

No Man's Land na Berlin station nilishaziona

Caliphate na Hit & Run zimenikosha

Nimeshadownload ila bado sijaziangalia
Spy
Mossad 101

Bado nazitafuta
When heroes fly
La Unidad
What happened to Oslo
 
No Man's Land na Berlin station nilishaziona

Caliphate na Hit & Run zimenikosha

Nimeshadownload ila bado sijaziangalia
Spy
Mossad 101

Bado nazitafuta
When heroes fly
La Unidad
What happened to Oslo
Hiyo ya mossad naomba link yake
 
Hiyo ya mossad naomba link yake
 
Aseeh trailer yake inatisha sana namuona Navarro ndani ya chumba cha mateso, FBI wamewaka wanamtaka Marty, huku Ruth amekiwasha na nimeona anampiga mtu risasi sijui ni nani???
Wabaya wa Ruth wanajulikana nilijua Kuna siku atawanyoosha..kumbuka alimpiga shoti ya umeme ndugu yake..
 
Wale wa mcu moon knight tayari ep2 out huyu jamaa Oscar Isaac ni nuksi

Jamaa anajua yaani anavyobadilisha accents na Multiple personalities yuko njema sana, kaleta character kwenye uhai

Pitia hapa pia
Marvel Cinematic Universe special thread
 
Mr walt & Jesse pinkman
20220410_083512.jpg
 
HAPANA !!! HAPANA !!!!
Aise sikutegemea PEAKY blinders season 6 itaisha kiboya kama hivi mwisho season 5 ,nilitegemea battle kali sana kati ya TOMMY VS MOSLEY, TOMMY VS MICHAEL, FINN young shelby anaondakaje kwenye familia kizembe namna ile ???? nimependa walivyomuaga POLLY GRAY

za chinichini zinasema kutakua na sequel ambayo hii itawaongelea young blinders FINN na THE DUKE ambaye ni mtoto wa THOMAS
Peaky-blinders-season-6-2022-indo-subtitles_11zon.jpg
 
The night of

Review 8.5/10
Hili ni bonge la season ambalo limenibamba sana..ni la kitambo kidogo 2016) uwezi jutia mda wako.Hili chuma ni lina "drama" na "crime"
Humu ndani kuna kijana asili ya kihindi, kwa majina yake "Nasir Khan".
Nasir khan anaalikwa kwenye party na rafiki yake wa shule.Mzee wake ni dereva Taxi,So usiku wa mwaliko anamvizia mzee na bi mkubwa wake wako chumbani anaiba funguo ya Taxi ya mzee na kutokomea nayo kuelekea kwenye party.

Njiani anambeba binti kama abiri,Safari yake ya kwenda kwenye party inaishia hapo anajipata yuko nyumbani kwa binti,akiwa kwa binti analewa na kuvuta madawa..
Wanaangukia kwenye kitanda wanafanya anasa,usiku mkali Nasir khan anashtuka ni mda wa kurudi nyumban na ameshachelewa,anarudi chumban anakuta binti kauwawa kifo cha kikatili sana...

Anachanganyikiwa,anaamua kutoroka kwa zile haraka haraka zake na wasiwasi anatoka apande Taxi ya babake bahati mbaya kasau funguo ndani,inabidi arudi na mlango umejiloki teyari kwa ndani..

Je atafanikiwa kuingia na kupata funguo yake?
Atafanikiwa kutoroka bila kukamatwa?
Hapo ndio mwanzo wa visa na mikasa...
Litafute ulicheki hutajutia mda wako
images.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom