Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mzee ukiongeza na power book 4 "Force" ya Joseph Sikora a.ka Tommy Eagan ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hahahaha yule mwehu nasubiri imalizike yote ndio nishushe ili nikiwa naangalia nisiwe nasubiria kila baada ya week
 
Ndo natumia mzee hamna subtitles
Mimi nimeangalia hiyo series yoteee, English subtitles nimedownload kupitia VLC player

Ukishindwa kwa njia hiyo ingia hapa https://subscene.com/subtitles/searchbytitle utaikuta subtitles za season 1 zote
Screenshot_2022-04-01-09-20-17-994_org.videolan.vlc.jpg
Screenshot_2022-04-01-09-20-05-328_org.videolan.vlc.jpg
Screenshot_2022-04-01-09-17-47-529_org.videolan.vlc.jpg
 
Kama ulizipenda hizi
Breaking bad
Power
Narcos
Gomorrah
Ozark utaipenda zaidi ni moja kati ya series kali sana tunasubil mwezi wa 4 mwishoni tunamaliza season ya mwisho
Gomorrah imeniletea uvivu kuimalizia kiaina
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom