Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kwenye series ya LOST kuna mambo ya ajabu sana ndani ya kile kisiwa nikikumbuka nabaki kushangaa tu:

1. Kwanza kisiwa hakipo kwenye ramani. Yani unajikuta tu umetokea.

2. Ukiingia hamna kutoka. Japo watu baadae waliweza kutoka baadae.

3. Hauwezi kuumwa ukiwa ndani ya kisiwa.

4. Wanawake wote wanaopata mimba ndani ya kisiwa wanakufa.

5. Sheria za physics hazifanyi kazi kabisa mule ndani.. kwa mfano unaweza ukarusha jiwe juu likachelewa au likawahi kufika.

6. Kuna jamaa kazaliwa miaka ya 1800 lakini hazeeki.

7. Kuna huyo mtu ambae haonekani.

8. Kama ulikuwa unaumwa ugonjwa wowote ukiingia ndani ya hicho kisiwa tayari ushapona!😅

Hatari sana.. ongezea jambo lililokustahajabisha kwenye hii series kama umewahi kuicheki.
 
Naomba series ya kama hii
 
Billy butcher is back
20220310_204447.jpg
 
Kwenye series ya LOST kuna mambo ya ajabu sana ndani ya kile kisiwa nikikumbuka nabaki kushangaa tu:

1. Kwanza kisiwa hakipo kwenye ramani. Yani unajikuta tu umetokea.

2. Ukiingia hamna kutoka. Japo watu baadae waliweza kutoka baadae.

3. Hauwezi kuumwa ukiwa ndani ya kisiwa.

4. Wanawake wote wanaopata mimba ndani ya kisiwa wanakufa.

5. Sheria za physics hazifanyi kazi kabisa mule ndani.. kwa mfano unaweza ukarusha jiwe juu likachelewa au likawahi kufika.

6. Kuna jamaa kazaliwa miaka ya 1800 lakini hazeeki.

7. Kuna huyo mtu ambae haonekani.

8. Kama ulikuwa unaumwa ugonjwa wowote ukiingia ndani ya hicho kisiwa tayari ushapona!

Hatari sana.. ongezea jambo lililokustahajabisha kwenye hii series kama umewahi kuicheki.
Kati ya Ben na Richard nani alitangulia kufika pale kisiwani???
Jacob na black smoke ni ndugu wa damu??? Na ninani mwenye kumiliki kile kisiwa??
 
Series kali saana hii
 
Kati ya Ben na Richard nani alitangulia kufika pale kisiwani???
Jacob na black smoke ni ndugu wa damu??? Na ninani mwenye kumiliki kile kisiwa??
Richard Alpert.. huyo jamaa si ndo yule ambae hazeeki?
Richard aliishi kitambo sana tangu miaka hiyo ya 1800s na hazeeki yupo vile vile. Kuna scene naikumbuka kipindi Benjamin Linus ndo anafika kisiwani yupo mdogo kabisa anakutana na Richard, jamaa yupo vile vile.
Linus anakua mpaka anafikia utu uzima jamaa yupo vile vile!😂

Jacob na Black Smoke si walizaliwa mapacha hawa?.. mama yao wakati anajifungua hakujua kama amebeba mapacha, akampa jina mtoto wa kwanza aitwe Jacob. Baadae wanaangalia vizuri kumbe ana mtoto mwengine, bi mkubwa akasema yeye ashatoa jina moja hatoi jengine!😂
 
Kwenye series ya LOST kuna mambo ya ajabu sana ndani ya kile kisiwa nikikumbuka nabaki kushangaa tu:

1. Kwanza kisiwa hakipo kwenye ramani. Yani unajikuta tu umetokea.

2. Ukiingia hamna kutoka. Japo watu baadae waliweza kutoka baadae.

3. Hauwezi kuumwa ukiwa ndani ya kisiwa.

4. Wanawake wote wanaopata mimba ndani ya kisiwa wanakufa.

5. Sheria za physics hazifanyi kazi kabisa mule ndani.. kwa mfano unaweza ukarusha jiwe juu likachelewa au likawahi kufika.

6. Kuna jamaa kazaliwa miaka ya 1800 lakini hazeeki.

7. Kuna huyo mtu ambae haonekani.

8. Kama ulikuwa unaumwa ugonjwa wowote ukiingia ndani ya hicho kisiwa tayari ushapona!

Hatari sana.. ongezea jambo lililokustahajabisha kwenye hii series kama umewahi kuicheki.
Mimi nakumbuka zile namba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom