Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mimi natumia Telegram na UTorrent kushusha kwenye simu

Screenshot_20210907-143106.png
 
View attachment 1904290
Narudi tena kuwakumbushaa hii kazi ni hatari sanaa
Kamaa unapenda series za madawa ya kulevya utaipenda na hii
Kama ulipenda Breaking bad , power na zinginezo hutoacha kuipenda hii jamaa anatumia akili sanaa

Nimecheki Breaking bad na Power lakini sijaipenda Godfather of Harlem.

Season 1 tu imetosha kusema sijaipenda.
 
Hii SEE imekaa vipi? Maelezo kidogo tafadhali.
Dunia hii ya Sasa iliangamizwa, kikaja kizazi ambacho walikuwa wote vipofu, isipokuwa wachache waliobarikiwa walikuwa wanaona, wale wanaoona walichukuliwa kama wachawi. Hivyo walikuwa wanauawa. Lakini waanaoona Ndio wakombozi wa hao vipofu hivyo lazima walindwe Sana Ili wasiuawe. Ni series nzuri Sana.
 
Ngoja niiongeze kwenye list
 
Hii SEE imekaa vipi? Maelezo kidogo tafadhali.
Anhaa ipo hivi katika karne ya 21 vinatokea virus ambavyo vinaua binadamu wote isipokuwa watu million 2 tu ndio wanabaki na wanakosa uwezo wa kuona na wanakuwa sehemu mbalimbali au vijiji tofauti tofauti ila wanaishi vizuri huku wakiwa hawaoni sema sasa siku moja anakuja mwanamke anatoroka kutoka eneo au jamii nyingine anakuja kwenye kijiji cha Jason Momoa humu anajulikana kama baba Voss. Ubaya baba Voss hana uwezo wa kumpa mimba mwanamke so anamuoa huyo dada ambaye anakuja kwenye iko kijiji alikuwa tayari na ujauzito wa miezi tatu wa mwanaume ambaye anaona anaitwa Jerlamarel. Sasa kuna kijiji kingine cha malkia ambaye anamtafuta huyo Jerlamarel na anasikia kuna watoto wamezaliwa wanaona katika kijiji cha baba Voss. So wanawindwa hao watoto na baba Voss anatakiwa awalinde hao na jamii ya watu wake.
 
Safi sana, stori ni nzuri.. inafaa kuanza nayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom