Series (Special thread)

Series (Special thread)

View attachment 1904290
Narudi tena kuwakumbushaa hii kazi ni hatari sanaa
Kamaa unapenda series za madawa ya kulevya utaipenda na hii
Kama ulipenda Breaking bad , power na zinginezo hutoacha kuipenda hii jamaa anatumia akili sanaa
Humo ndani unapata kujua harakati za Malcolm X na mshikaji wake Mohammed Alli... Mzigo umetulia sana
 
Humo ndani unapata kujua harakati za Malcolm X na mshikaji wake Mohammed Alli... Mzigo umetulia sana
nimeiangalia mpaka episode 4, huyo mzee ni mafia aliyepitiliza.
kuna mzigo wa yellowstone kuna mdau aliusifia sana humu ndani, nilibahatika kuiangalia lakini nikakutana na majanga ya kuganda ovyo kwa videos hatimaye nikaisamehe (kana msaada wa link ya uhakika nakaribisha msaada)

usisahau kunishushia list ya series nyengine utakapopata nafasi
 
Humo ndani unapata kujua harakati za Malcolm X na mshikaji wake Mohammed Alli... Mzigo umetulia sana
Ujue iyo series niliangalia episode moja tu nikaachana nayo nikasema ngoja nitaicheck nikakaa kama miezi 4 hivi nikaja kucheck aiseee nikabidi nimgoogle huyo jamaa sura yake maana alikuwa gangster mwenye akili nyingi sana enzi za uhai wake
 
nimeiangalia mpaka episode 4, huyo mzee ni mafia aliyepitiliza.
kuna mzigo wa yellowstone kuna mdau aliusifia sana humu ndani, nilibahatika kuiangalia lakini nikakutana na majanga ya kuganda ovyo kwa videos hatimaye nikaisamehe (kana msaada wa link ya uhakika nakaribisha msaada)

usisahau kunishushia list ya series nyengine utakapopata nafasi
Check na hii link bro
[Mixed_X264]-_cOOt
 
Ujue iyo series niliangalia episode moja tu nikaachana nayo nikasema ngoja nitaicheck nikakaa kama miezi 4 hivi nikaja kucheck aiseee nikabidi nimgoogle huyo jamaa sura yake maana alikuwa gangster mwenye akili nyingi sana enzi za uhai wake
Hahah ulifanya kama mimi mzee, mwanzoni nilikuwa naichukulia poa sana, ila baadae nimeipa heshima, bonge moja la mzigo wa kimafia, Bumpy mwenyewe original alikuwa mafia sana, nilipitia makala yake moja Youtube

Sasa hivi nipo nayo season 2,imechangamka sana mzee
 
nimeiangalia mpaka episode 4, huyo mzee ni mafia aliyepitiliza.
kuna mzigo wa yellowstone kuna mdau aliusifia sana humu ndani, nilibahatika kuiangalia lakini nikakutana na majanga ya kuganda ovyo kwa videos hatimaye nikaisamehe (kana msaada wa link ya uhakika nakaribisha msaada)

usisahau kunishushia list ya series nyengine utakapopata nafasi
Kuna series nyingine ni mpya Inaitwa Hit and Run, ni yule mshikaji wa series ya Fauda,, imetulia unaweza kwenda nayo pia na hii Sneaky Pete,Ice
 
Hahah ulifanya kama mimi mzee, mwanzoni nilikuwa naichukulia poa sana, ila baadae nimeipa heshima, bonge moja la mzigo wa kimafia, Bumpy mwenyewe original alikuwa mafia sana, nilipitia makala yake moja Youtube

Sasa hivi nipo nayo season 2,imechangamka sana mzee
Mimi nasubiri mzigo utimie episodes zote 10 niushushe
 
Ule uvumilivu wa series ya See season 2 umefikia tamati tayari na leo s02E01 ishatoka tayari

images (3).jpeg
 
Kuna series nyingine ni mpya Inaitwa Hit and Run, ni yule mshikaji wa series ya Fauda,, imetulia unaweza kwenda nayo pia na hii Sneaky Pete,Ice
Sneaky Pete hivi ni nzuri? Mbona kama imejaa comedy tu.. niliangalia episode mbili nikaacha.

Hiyo hit & run nayo imenishinda kuimaliza.
 
Ujue iyo series niliangalia episode moja tu nikaachana nayo nikasema ngoja nitaicheck nikakaa kama miezi 4 hivi nikaja kucheck aiseee nikabidi nimgoogle huyo jamaa sura yake maana alikuwa gangster mwenye akili nyingi sana enzi za uhai wake
Mi mwenyewe nimeangalia episode 2 nikaachana nayo, ebu ngoja niicheki tena
 
kesho ndio wanaachiwa money heist, sijui sisi vijana wa hovyo tutapata lini
 
Miaka miwili nyuma niliwahi iponda hii series, najutia kwa kauli ile aise...

StartUp ni maisha, ni zaidi ya TV Show!!
IMG_20210902_191855.jpg
 
Wakuu walioangalia Tehran, kuna kitu bado sielewi.
Ndege haikupaswa kutua Tehran ni emergence ilitokea na ikawa hivyo .

Sasa Mossad walijuaje kwamba ndege itaenda kupata emergence na kutua Tehran? Maana tayari Zhila alishaandaliwa kubadilishana identity na Tamar, na ikawa hivyo.
 
series nazopendaga kuangalia zinahusu magenge ya uhalifu, umafia, madawa, n.k

hizi ni series ambazo nazikubali mno, yaani hazikuniboa, zilinifanya niwe hooked vibaya mno. (chini kuna list ya zilizoniboa 😂 )

  1. BREAKING BAD
  2. NARCOS (toleo la pablo na toleo la mexico)
  3. SNOWFALL
  4. GODFATHER OF HARLEM
  5. LA CASA DE PAPEL (Mobey heist)
  6. PEAKY BLINDERS
  7. GOMMORAH
  8. THE OZARKS
  9. MC MAFIA
  10. POWER (tolea la mwanzo, toleo la book ii na book iii)
  11. EL CHAPO
  12. TOP BOY
  13. BAD BLOOD
  14. ZERO ZERO ZERO
  15. ANIMAL KINGDOM
  16. BANSHEE
Za ziada, ni kali ila siwezi kuzichanganya na hizo mashine za juu
  1. Gangs of london
  2. Sons of anarchy
  3. Yellow stone

Hizi nlizicheki ila hazikunipa mzuka

-Queen of the south (kwa maoni yangu hii series biashara ya madawa wameifanya ionekane lelemama ambayo hata mdada mweny roho nyepesi anakuwa don)

- Just call saul (iko poa sema iliniboa tu, ni kama series ya ziada ya maisha ya mwanasheia wa breaking bad)

- (ni nzuri lakini kwa visu nliyoweka hapo juu haiwezi kulingana nazo)

- The wire (ni series nzuri ila imekaa kizamani, )

-The sopranos (story ndefu sana, yani hadi jambo litokee wana complicate sana, hata sikumaliza)

- Lily hammer (hii ni naona kuna vi comedy flani, haipo serious kwenye uhalifu)

Series hizi sio za umafia kama nlizozitaja ila zina nafasi ya kipekee mno, ni kile kipindi nimeanza kucheki series, hizi series zilinibamba mno.

1.prison break - unasubiri nini kama bado hujaicheki??
2. 24 - jack baur siji kumsahau
3. lost - bonge moja la adventure.

kuhusu wakorea nmecheki series zao kibao tu nilizikubali iris, city hunter na jumong ii, wakorea nao wanajitahidi ila huwezi kuweka series zao kwenye midude niliyoweka huko juu 😂 😂 labda kama unataka series za kuwapa dada zako huwa naona wanazikubali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom