Series (Special thread)

Series (Special thread)

Sept 08,the saga continue.... Lala kaongezeka
wutangclan-20210804-0011.jpg
lala-20210815-0001.jpg
 
Wakuu any suggestion movie za kuendana na hizi,
Black sails
GOT
Vikings.
Maana kwangu hizi ndio Tv series zangu zangu bora za mda wote.

Jaribu The Last Kingdom , Rome, Spartacus, kuna ya wakorea inaitwa Kingdom pia
 
Sio nzuri wala nini mbaya

Napredict hii itakuja kuwa nzuri sana kwa sasa anatengeneza characters nahisi ndo maana haichangamki. Though mie nimependa jinsi Kanan anavyokuwa exposed kwenye matukio ya kinyama haya ndo yanayomfanya aje kuwa ruthless km alivyokuwa kwenye Power. Napenda pia character ya Jukebox inavyotengenezwa anainekana ana two persona akiwa kwenye mishe zake na mbele ya watu anabehave tofauti. Nimepwnda Marvin ambaye kwa mara ya kwanza nilimuana kwenye series ya Ballers akiigiza km Reggie chawa fulani hivi ila huku kakaza km non sense uncle Lou Lou naye kazi kazi. Kingine ninachokipenda kwenye Power Book III ni imeigizwa kwa mandhari ya 90s mzee enzi za baggie jeans na Tshirts basi inanikumbusha kipindi hicho nikiwa shule. To me wamekuja vizuri kuliko hata Book III.
 
Wakuu kuna hizi series nimezisubiria season 2 hadi nimekataa tamaa nataka nizifute season 1 zake kwenye h drive yangu,mcmafia,valor na the enemy within,au zishakua cancel?
 
Msaada jamani mwenye link ya series ya 2017-2019 inaitwa SOZ anipatie nimeitafuta sana bila mafanikio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom