Dah... Ngoja nitajarbu kuichungulia niioneZa kawaida huwa zinavumilika ila hii utadhani unaangalia porn, bisexual na homosexual utakutana navyo pia.
Series nyingi siku hizi huwa hazikosi ushoga ila vikizidi hata mimi huwa naachana nayo.
Go for it unaweza kuipenda.
Nikiangalia movie za kichina na korean drama kidogo ninakuwa comfortable hazina mambo ya kikubwa ila za kizungu zimezidi aisee sijui kwanini zina haya mambo unakuta series ni Kali kama banshee bahati mbaya mambo ya kikubwa yapo mengi Sana.Suburra
Ina season ngap mkuuEbu tafuteni series moja inaitwa who killed sara..
Utakuja kunishukuru mbelelen.. Bonge moja la series..
Na kwa wale walicheck the oval kuna muondelezo wa mtoto wa ruth kuchukulia na dini ya tuthless.. Series yake inaitwa ruthless...
Wambie pia zimejaa ushoga wa hali ya juuEbu tafuteni series moja inaitwa who killed sara..
Utakuja kunishukuru mbelelen.. Bonge moja la series..
Na kwa wale walicheck the oval kuna muondelezo wa mtoto wa ruth kuchukulia na dini ya tuthless.. Series yake inaitwa ruthless...
Nitafutie Download link ya Banshee naona haioo Netflix kabisa
breaking bad is the best series everaisee breaking bad wengi wanaikubali hata nadhani imepata tuzo nyingi,hata kwenye internet wengi wana ikubali sana.
season 2 bado ipo kawaida kuanzia 3 na kendelea aisee huwezi kulala usiku utata uimalize,season 3 na kuendelea ndo kazi ya mitutu na mafia wa drugs inaanza.
kuna ''how to make in America''nimeangalia kidogo,aisee seems ya ukweli sana
Deep State ni zaidi ya hiyo Cypher... Kuna Waarabu humo
- Cypher series: hii project muendelezo wake wa season 2 tutegemee mwaka gani au ndio muendelezo wa cancelled. Ipo vizuri sana
- Deep state series: nataka kuijaribu hii series, kwa uzoefu wako ikiwa umeiangalia hii project umeipa mtazamo gani?
Wambie pia zimejaa ushoga wa hali ya juu
Hii nilisikiaga ilikua cancelledWakuu huu mzigo niliangalia miaka ya nyuma episodes kama 3 hivi ila wiki iliyopita nikashusha wote season 1 na kumalizia season zote 8 aisee wacha watu kwenye social media wapige kelele kuhusu season 2 inatoka lini maana si mchezo humo kwenye issue za umafia alafu unakutana na warusi ndani hatari sana
View attachment 1745186
Hapana haijawa cancelled bali ipo delayed kutokaHii nilisikiaga ilikua cancelled
Nimeangalia hiyo series mwaka 2018 feb,miaka karibia 4 now season 1 ipo tu kwenye ext drive hadi nata kuifuta!Hapana haijawa cancelled bali ipo delayed kutoka
Hawajatangaza rasmi mzee na walichotangaza ni hiki ππNimeangalia hiyo series mwaka 2018 feb,miaka karibia 4 now season 1 ipo tu kwenye ext drive hadi nata kuifuta!
Kuna ushauri wowote kuhusu bundle bora la ku download movies. Haswa zile bundle za usiku. Je!? Ni mtandao gani upo cheap na reliable speed.
Kuna mdau humu niliona post za juu hapo, ame recommend Halotel wako na vifurushi poa hasa wakati wa usiku, elfu 1500 kwa GB 5..kuanzia saa sita usiku hadi saa kumi na mbili asubuhi, so unaweza tumia GB 10 kwa shilingi elfu 3000 kutokana na kasi ya mtandao wenyewe na eneo ulipo...
kwa yule anayeishi eneo lisilokuwa na uhakika wa kupata speed bora ya Internet unampa ushauri gani.airtel gb 10 kwa 1500 kuanzia saa sita usiku menu ile ile *149*99# kisha internet halafu siku utaona bando la usiku
kwa yule anayeishi eneo lisilokuwa na uhakika wa kupata speed bora ya Internet unampa ushauri gani.
unajua nishakula hasara mara mbili kwa hiki kifurushi cha internet ya airtel lakini pia nishabahatika kutumia GB zao 10 mara mbili
ππ
- kuna siku nilifuata ushauri wako kwa kujiunga saa 5, internet ikawa sipati, nikasubiria saa 6 ngoma bado mbichi.
- kuna siku nilijiunga saa 6, nilibadili location mpaka nikachoka (network inapanda 4g lakini internet sipati)
=================
wakati huo nilikuwa nje ya mji kimasomo (zanzibar tunaita shamba), network ilikuwa inapanda 3g lakini ilikuwa ni uhakika kwa muda wote. acha nicheze tena kamari japo kwa mara ya mwisho pengine bahati itakuwa upande wanguwaaow unajua dae nilikua sina laini ya airtel ila kuna siku uliisifia sana nikatamani na kuisajili fasta(yaan hapa sina tigo na zantel tu,laini zingine zoote ninazo kisa bando la usiku). Mwanzoni net haikua vizuri ila saiv aiseee napata raha sana ingekua unlimited maisha yangependeza mno.
TTCL inekataa kusoma kwenye modem, nimefikiria kumuazima mdogo wangu simu ili nipate huduma yao ya usikuHasara nimezipata kwa ttcl net mbovu jamani,lwenye gb 10 nikatumia 3 tu nazo kwa mbinde mno.