Series (Special thread)

Mkuu hii breaking bad nimeishia season two naona imepoa sana even though naona inakubalika sana

aisee breaking bad wengi wanaikubali hata nadhani imepata tuzo nyingi,hata kwenye internet wengi wana ikubali sana.
season 2 bado ipo kawaida kuanzia 3 na kendelea aisee huwezi kulala usiku utata uimalize,season 3 na kuendelea ndo kazi ya mitutu na mafia wa drugs inaanza.

kuna ''how to make in America''nimeangalia kidogo,aisee seems ya ukweli sana
 
24
Arrow
Revolution
Naisubiei CSI:Cyber inaanza march 2015
Revolution mwanzoni hainogi ila imenogeshwa na huyu jamaa
gusfring.jpg
 
aisee breaking bad wengi wanaikubali hata nadhani imepata tuzo nyingi,hata kwenye internet wengi wana ikubali sana.
season 2 bado ipo kawaida kuanzia 3 na kendelea aisee huwezi kulala usiku utata uimalize,season 3 na kuendelea ndo kazi ya mitutu na mafia wa drugs inaanza.

kuna ''how to make in America''nimeangalia kidogo,aisee seems ya ukweli sana

Nimemaliza V muda c mrefu guess kesho ntaendelea nayo vipi nikita, the 100 umeona
 
kweli tunatofautiana,mi nikita nilishindwa,nilishindwa pia 24 hrs.

umeangalia ''leverage'',ni nzuri

Leverage sijaangalia but ninayo but sijaipitia kwani inahusu nn?
Hiyo 24 hata Mimi ilinishinda mwanzoni lakini badae niliimaliza yote
 
Leverage sijaangalia but ninayo but sijaipitia kwani inahusu nn?
Hiyo 24 hata Mimi ilinishinda mwanzoni lakini badae niliimaliza yote

leverage ni kama burn notice kama uliangalia,kwanza mtindo wao si mwendelezo wa story,kila episode inakuja na tukio na inaisha hapo hapo,kwahiyo episode lingine inakuja na jipya.
Leverage ni kama kundi la watu binafsi ( wapo kama 5) ambalo halijulikani kwa serikali,inafanya mambo yake kivyake kuwasaidia watu ambao wamedhulumiwa,mtu akidhulumiwa hata awe mjanja wao wanakuja kumtapeli halafu mhanga anarudishiwa mali zake na faida juu,maana wao wanatapeli matapeli na wakitapeli lazima tapeli akimbie nchi ili serikali isimkamate,na tapeli wakimfilisi wanamfilisi kweli,kiujumla wanacheza na watu wa kila aina iwe institutions za serikali au binafsi ila mwishoni wakimtapeli tapeli hamna ushahidi unaowafunga,kiujumla wanasaidia wahanga
 
Breaking bad ni noma

Mshkaji very decent baada ya kugundua anaumwa kansa na amebaki miezi kadhaa kansa imuue na akiangalia familia ni masikini hana cha kuwaachia, akaamua kujiingiza kwenye biashara ya madawa ya kulevya ili kupata pesa ya chap chap kabla hajafa kwaajili ya familia yake

Bahati kansa ikaisha na biashara ikamnogea

Bonge moja la stori, sio yakukosa kama unapenda series

Ngoja niitafute hio naona kila mtu anaisifia
 
24 ndio my life time series of all.

Nimependa pia last ship naisubiri.

Nimetazama pia hizi nazo nasubiri mwendelezo
Arther
Power
Dominion
G.O.T
falling skies
Revolution
Arrow
Blacklist
VD
The event
Na baadhi ya za Korea
Last resort
Under the dome

Zingine mesahau nkikumbuka ntasema Kama siri ya mtungi teh teh
 
Napenda series zenye covert opps, drug cartels na illegal bizs, Intelligence n.k

Hizi ni some of them,

24, Homeland, traveller, strike back, prison break, banshee, hizo ndizo nilizozipenda, isijae uongo saaana kama arrow.

Kwa sasa naitafuta breaking bad kutokana na wadau mlivyoandika itakuwa nzuri tuu. Any suggestion on top of that niongezee...!
 
Ongeza blacklist, person of interest,revenge ni nzuri pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom