Series (Special thread)

Series (Special thread)

Huu mzigo unahusu nini mkuu. Nishushe
Sijui wewe unapenda series za aina gani ila iyo inahusu Baba na mwanaye wanatoka zao senegal kuja france na mzee anapata kazi kwa tajiri ambaye baadae anambambikia kesi ya kuipa cheni na kumforce akili kosa akiwa mahabusu ila katika kumlea mwanae alimpatia kitabu cha Arsene Lupin kinachohusu kufanya mipango au wizi wa jambo kwa akili so mwanae anakisoma iko kitabu na kuwa mwizi mtaani ila bado anataka kujua nini kilitokea baba yake kukamatwa so unafanyika mnada wa iyo cheni maarufu France so anapanga njama za kuiba huo mkufu kwenye mnada na hapo ndio sakata la kujua utata wa kesi ya baba yake unaanzia hapo
 
Mkao wa kula
255744933366_status_6504034e90d541b6beaf1d8e65843b8e.jpg
 
Wakuu huu mzigo niliangalia miaka ya nyuma episodes kama 3 hivi ila wiki iliyopita nikashusha wote season 1 na kumalizia season zote 8 aisee wacha watu kwenye social media wapige kelele kuhusu season 2 inatoka lini maana si mchezo humo kwenye issue za umafia alafu unakutana na warusi ndani hatari sana

mcmafia.163596.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom