Mkalimani wa taifa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 753
- 1,290
ni kali sana ina inapasua kichwa inahitaji utilivu sana kuicheki, kama unataka kuenjoy check tribes of europaVp mkuu ya kiboya??
ni kali sana ina inapasua kichwa inahitaji utilivu sana kuicheki, kama unataka kuenjoy check tribes of europaVp mkuu ya kiboya??
Haina noma mkuu hii tribes of Europe naona inaongelewa sana humu nitaitafuta.ni kali sana ina inapasua kichwa inahitaji utilivu sana kuicheki, kama unataka kuenjoy check tribes of europa
The Blacklist nishaichekiItafute see
Sio the blacklist bali kuna series inaitwa See na pia kuna series nyingine nilielezea hapaThe Blacklist nishaicheki
Nimeicheck movie ya hii series weekend aisee bonge la movie imenifanya niishushe iyo seriesSnowpiecer... Moja ya series nzuri sana
Inahusu maisha ya baadae kunatokea na baridi kali duniani, hivyo kufanya watu kukosa makazi ya kuishi,wakati baridi kali hilo linatokea kunatokea na Train moja kubwa sana ambayo inazunguka dunia, so ili ujisalimishe na baridi hiko inakubidi upande hiyo Train inayozunguka duniani, na ndani ya Train hiyo kuna classes za maisha, kuna low life, medium hadi high life ndani ya hiyo hiyo Train...
Wakati Train hiyo ikiendelea kuzunguka dunia na baridi likizidi kuwa kali, ndani ya Train hiyo yanaanza kutokea mauji ya watu mbalimbali hivyo inapelekea mmiliki wa Train hiyo ambaye ni mwanamama kutafuta detective wa kuchunguza vifo vya watu hao,,,kwenye hiyo Train detective anapatika kwenye low class...
Hadi sasa mzigo uko na season 1 complete, na season 2 ndio ipo ongoing...
Moja ya series nzuri sana, Hii Snowpiecer miaka ya nyuma huko walishawahi kutoa movie yake nayo inaitwa hivyo hivyo Snowpiecer ya Christ Evans!!
Sio the blacklist bali kuna series inaitwa See na pia kuna series nyingine nilielezea hapa
☝️☝️☝️Kwa wale wapenzi wa series za viking, last kingdom, game of thrones na series za kipindi iko watu wanatumia mapanga basi kaitafute hii BARBARIANS inahusu battle Kati ya waroma na vijiji vya jirani ambao si waroma wanaitwa BARBARIANS so miaka ya nyuma waliishi kwa amani hakuna mtu wa kumuingilia mwenzake ila baadae waroma walibadilisha uongozi na kubadili hayo maagano so asa ivi wanawataka hao BARBARIANS kuwapa mifugo na mazao sasa ubaya wakati wanakusanya Ivo vitu havikutosha idadi waliotakiwa kufikia so waroma wakashuka na kuanza kuingia kila nyumba na kuchukua kwa nguvu na kumwamuru kiongozi wao akiss huku amepiga magoti nembo yao ya eagle kwa kiongozi wao ambayo ni aibu sana. So kutokana na uonevu huo wakaungana vijana wa4 tu wakaplan waibe iyo symbol ya eagle na kweli wakafanikiwa kuiba kutoka kwenye kambi ya waroma wakaileta kijijini na wakati wanaileta wanakijiji walishangaa Sana na kuanza kuwapigia makofi kama ishara ya ushujaa hadi viongozi wao walishangaa na dhumuni la kuiba iyo symbol ya eagle ni kuwaaminisha watu kwamba waroma Wana weakness na inawezekana kupigana nao so utata unaanza hapo.
Maelezo yote hayo ni episode ya 1 tu kwenye episodes 6 nilioanza nao jioni hii.
Mzigo ulitoka wote torrent
View attachment 1679253
Okay..."SEE"Sio the blacklist bali kuna series inaitwa See na pia kuna series nyingine nilielezea hapa
Nimequote hapo juu kuna series inaitwa the barbariansOkay..."SEE"
Nyingine ipi mkuu...samahani kwa usumbufu lkn
Season 2 yake imekamilika tayali,mzigo mzuri sana huuNimeicheck movie ya hii series weekend aisee bonge la movie imenifanya niishushe iyo series
Nitaitafuta mzeeSeason 2 yake imekamilika tayali,mzigo mzuri sana huu
Ukitaka kujua waitaliano hasa jiji la wahuni la Napoli wana roho mbaya basi tizama ili dude. Mimi nimecheck seasons zote 4 nasubiri season ya mwisho ya 5 inatoka mwaka huu
Msaada wa link mkuu
Ulikuwaga wapi mzee ..huu ni mzigo na nusu ..tafuta pia Deep State mzee hutojuta.Wakuu huu mzigo niliangalia miaka ya nyuma episodes kama 3 hivi ila wiki iliyopita nikashusha wote season 1 na kumalizia season zote 8 aisee wacha watu kwenye social media wapige kelele kuhusu season 2 inatoka lini maana si mchezo humo kwenye issue za umafia alafu unakutana na warusi ndani hatari sana
View attachment 1745186
Daah! Mambo mengi poa nitaicheck mzee.... Shukrani mkuuUlikuwaga wapi mzee ..huu ni mzigo na nusu ..tafuta pia Deep State mzee hutojuta.
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Deep balaaa movie zenye akiliDaah! Mambo mengi poa nitaicheck mzee.... Shukrani mkuu