Series (Special thread)

Series (Special thread)

Through Google au wapi hyo site mzee, nitoe ushamba kdg
Kama unatumia simu utaipata playstore au appstore pia kama watumia pc itafute google ytorrent for window, au kwa mac
Screenshot_20210116-132118.jpg
 
2021 nangojea muendelezo wa izi series

GANGS OF LONDON

MONEY HEIST
 
Kwa wale wapenzi wa series za viking, last kingdom, game of thrones na series za kipindi iko watu wanatumia mapanga basi kaitafute hii BARBARIANS inahusu battle Kati ya waroma na vijiji vya jirani ambao si waroma wanaitwa BARBARIANS so miaka ya nyuma waliishi kwa amani hakuna mtu wa kumuingilia mwenzake ila baadae waroma walibadilisha uongozi na kubadili hayo maagano so asa ivi wanawataka hao BARBARIANS kuwapa mifugo na mazao sasa ubaya wakati wanakusanya Ivo vitu havikutosha idadi waliotakiwa kufikia so waroma wakashuka na kuanza kuingia kila nyumba na kuchukua kwa nguvu na kumwamuru kiongozi wao akiss huku amepiga magoti nembo yao ya eagle kwa kiongozi wao ambayo ni aibu sana. So kutokana na uonevu huo wakaungana vijana wa4 tu wakaplan waibe iyo symbol ya eagle na kweli wakafanikiwa kuiba kutoka kwenye kambi ya waroma wakaileta kijijini na wakati wanaileta wanakijiji walishangaa Sana na kuanza kuwapigia makofi kama ishara ya ushujaa hadi viongozi wao walishangaa na dhumuni la kuiba iyo symbol ya eagle ni kuwaaminisha watu kwamba waroma Wana weakness na inawezekana kupigana nao so utata unaanza hapo.
Maelezo yote hayo ni episode ya 1 tu kwenye episodes 6 nilioanza nao jioni hii.

Mzigo ulitoka wote torrent

barbarians-first-season.193309.jpg
 
Nataka inibambe siyo nipoteze Muda mkuu

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Sikiliza wewe series ulizia inahusu nini then nenda youtube kaangalie trailer lake sio kusikia maneno ya mtu humu coz the blacklist ni bonge la series wewe download episodes angalia inakufaa au la maana hakuna series ina story kali kuliko zingine maana kila series ina story tofauti so ukiona mtu humu au popote anakwambia hakuna series kali kama sijui 24 au game of thrones uyo si muangaliaji series bali ni Mpenzi wa iyo series so anataka kukuaminisha na wewe uwe Ivo Ivo kama mwanaume au mwanamke anayeamini huyu Mpenzi wake ni mzuri wakati hajawaonja hao wengine.
So kila mtu ana vitu anavitaka viwepo kwenye series hapo ndo ikawekwa kitu kinaitwa Genres ili kila mtu aangalie akipendacho.
So ukiona mtu anakwambia hii series ni mbaya au msemo wa humu hii series imepooza muulize kilichopooza au ubaya wa iyo series ni nini? Utaona anatoa sababu ambazo hazina mashiko na kwa hili kuna watu wamebadilika humu wengine wapo vilevile so huwezi badilisha watu wote
 
Sawa kabisa
 
Uko sawa mzee
 
Kea wale wapenzi wa series za viking, last kingdom, game of thrones na series za kipindi iko watu wanatumia mapanga basi kaitafute hii BARBARIANS inahusu battle Kati ya waroma na vijiji vya jirani ambao si waroma wanaitwa BARBARIANS so miaka ya nyuma waliishi kwa amani hakuna mtu wa kumuingilia mwenzake ila baadae waroma walibadilisha uongozi na kubadili hayo maagano so asa ivi wanawataka hao BARBARIANS kuwapa mifugo na mazao sasa ubaya wakati wanakusanya Ivo vitu havikutosha idadi waliotakiwa kufikia so waroma wakashuka na kuanza kuingia kila nyumba na kuchukua kwa nguvu na kumwamuru kiongozi wao akiss huku amepiga magoti nembo yao ya eagle kwa kiongozi wao ambayo ni aibu sana. So kutokana na uonevu huo wakaungana vijana wa4 tu wakaplan waibe iyo symbol ya eagle na kweli wakafanikiwa kuiba kutoka kwenye kambi ya waroma wakaileta kijijini na wakati wanaileta wanakijiji walishangaa Sana na kuanza kuwapigia makofi kama ishara ya ushujaa hadi viongozi wao walishangaa na dhumuni la kuiba iyo symbol ya eagle ni kuwaaminisha watu kwamba waroma Wana weakness na inawezekana kupigana nao so utata unaanza hapo.
Maelezo yote hayo ni episode ya 1 tu kwenye episodes 6 nilioanza nao jioni hii.

Mzigo ulitoka wote torrent
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom