Baharia mweuc
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 654
- 769
Ndio naishusha hapa season 1 kupita telegramDeep balaaa movie zenye akili
Ndio naishusha hapa season 1 kupita telegramDeep balaaa movie zenye akili
Halotel wana bundle la GB 5 la usiku kwa 1500 tu mzee ukiweka elfu 3 unapata GB 10Ushauri juu ya mtandao gani wenye bundle poa za usiku za kudownload movies
Daah! So tutammiss kwenye seasons zinazofuata za peaky blinders.....RIP HelenHelen McCrory, British Star of Stage, Film and TV, Dies at 52
She was acclaimed for her work on the TV series “Peaky Blinders” and in three Harry Potter movies, but she first gained notice in the London theater.
View attachment 1754190
Usiwe na stress pia 😆😆Dark ni nzuri sana
ila wakati unaangalia inabidi uwe na karatasi na kalamu kuandika matukio
season 1 inaeleweka vizuri ila season 2 inachanganya bila kuwa makini unaweza usiambulie kitu.
Dark ni nzuri sana
ila wakati unaangalia inabidi uwe na karatasi na kalamu kuandika matukio
season 1 inaeleweka vizuri ila season 2 inachanganya bila kuwa makini unaweza usiambulie kitu.
Umo kwenye breaking bad kuna muhuni mmoja hivi anaitwa Gus fring ni hatari sana yule ukimuona kama MTU vile kumbe ni muuajiKuna Series mbili kali kinyama haina mchawi
CRISIS
BREAKING BAD
Hutojuta mkuu. Kutana na franklin saint uko.. tuna smile ata kwny matatizoNaona Snowfall inasifiwa sana mkuu. Ni kali kiasi hicho au ni promo tu za kisiasa ?
Supernatural imenishindaMimi nimpenzi wa series zenye fantasy sana plus horror ...pia za vita za kizamani za mapanga...
Mfano
Once upon a time
Supernatural
The walking dead
The last Kingdom
GOT
Vikings
Kama unafahamu series yeny genre inayofanana na series yoyote hapo, nisaidie majina nizishushe
Ipo Kama power sio?!Nzuri sana mzee kama tunapenda series za kuhustle mtaani, drug dealer, kusurvive na ukatili itafute iyo man
Ipo season ya ngapi sasa hv?!Baada ya series ya Power kwisha na Ghost kufa nikajua hakuna jipya akina 50cent wanataka kutuletea kwenye miendelezo yake
Juzi nikaona ngoja niisgushe Power Book II: Ghost
Aisee wamehitahidi sana sana sijajutia mb na muda wangu
Humo ndani Tariq, Mary J Blige, Method Man wamefanya vizuri sana
Kama ni mpenzi wa Power check na hii
Tafuta NIKITA AU THE LAST SHIP mkuu UAisee Naomba Mapendekezo Ya Series Niruke Nayo Leo Yenye Maadhi Ya Action,Crime ,Adventure...NB: Nimezicheki Nyingi kwahiyo Now Nakosa Nicheki ipi Ukimention Nikiwa Sijaipitia Utakuwa umenisaidia Sana
Yeah! Kwenye issues za drugs unyama kama kawaidaIpo Kama power sio?!
Nilijaribu kuiangalia nikaishia kuifuta tu wala sikuipendaDark ni nzuri sana
ila wakati unaangalia inabidi uwe na karatasi na kalamu kuandika matukio
season 1 inaeleweka vizuri ila season 2 inachanganya bila kuwa makini unaweza usiambulie kitu.
Hii inahusu nn mkuuThis DramaView attachment 1746375
Moja ya TV Show yenye Crime kali na kusisimua muda wote, nmeangalia zote pamoja na movie yake, inaitwa The Immortal, hii movie imebase hasa kwenye maisha ya Ciro... Hasa hasa baada ya kupigwa risasiUkitaka kujua waitaliano hasa jiji la wahuni la Napoli wana roho mbaya basi tizama ili dude. Mimi nimecheck seasons zote 4 nasubiri season ya mwisho ya 5 inatoka mwaka huu
Moja ya TV Show yenye Crime kali na kusisimua muda wote, nmeangalia zote pamoja na movie yake, inaitwa The Immortal, hii movie imebase hasa kwenye maisha ya Ciro... Hasa hasa baada ya kupigwa risasi
Waitalia wana vitu adimu sana, sema watu wengi bado hawajawastukia, nasikia wako na mzigo mwingine pia unaitwa Suburra... Nao wanausifia japo bado sijaupatia time
The ImmortalView attachment 1762525
Hapana, haijawa dubbed,mimi nmeiangalia mwanzo mwisho kwa kusoma subtitleEnglish Edition inapatikana!?