GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,909
- 10,562
Achana nayo kama inakukera! Angalia hata futuhi!Mimi nilipoanza kuangalia sikujua kama kuna hayo mambo ndio maana nishaitupilia mbali. Punguza mihemuko

Unaweza download manually kutokaTuvumiliane tu mkuu wengine hata mwezi mjini hatuna.
Shukurani mkubwa.Unaweza download manually kutoka
Subscene.com (ila zingatia zile code za video huika mfano bluray , webrip x264, n.k)
Njia ya pili ni automatic kupitia VLC kuna extension inaitwa VLSub ipi kwenye VLC na ikiwa haipo unaweza kuiadd kwa vlc
Hii unagusa tu inakuletea substitpe zote zinazoenda na video husika.
Ushauri wangu:. Tumia vlsub
Nina vlc ila haina hyo vlsub unaiadd vp mkuu.Unaweza download manually kutoka
Subscene.com (ila zingatia zile code za video huika mfano bluray , webrip x264, n.k)
Njia ya pili ni automatic kupitia VLC kuna extension inaitwa VLSub ipi kwenye VLC na ikiwa haipo unaweza kuiadd kwa vlc
Hii unagusa tu inakuletea substitpe zote zinazoenda na video husika.
Ushauri wangu:. Tumia vlsub
Huwa nikidownload muvi alafu nikaplay via vlc kuna option ya online subtitles bt mara zote nikisach huwa inasachi mwishowe inarespond no subtitle found. Nimeshajaribu muvi mbalimbali nilizodownld telegram etc.Unaweza download manually kutoka
Subscene.com (ila zingatia zile code za video huika mfano bluray , webrip x264, n.k)
Njia ya pili ni automatic kupitia VLC kuna extension inaitwa VLSub ipi kwenye VLC na ikiwa haipo unaweza kuiadd kwa vlc
Hii unagusa tu inakuletea substitpe zote zinazoenda na video husika.
Ushauri wangu:. Tumia vlsub
SureYaah! Ubaya hakuna series isiyokuwa na ushoga mzee so wewe wakianza kushikana peleka mbele maana aim yao wewe na mashoga wenzao waone ni kitu Cha kawaida ila sio jambo la kawaida kwangu na series ambazo hazina huo ujinga ni chache Sana ikiwemo blacklist
Sawa mkuuAchana nayo kama inakukera! Angalia hata futuhi!
Naam mjombaaa, unaifatilia hii drama?Mjombaaaaaaaa
Waliishia hiyo hiyo season 2Wakuu naombeni kujua mwny kuifatilia the SIX mimi nimeishia season 2
Snowpiecer... Moja ya series nzuri sanaInahusu nn mkuu, tupe hints kdg
Haa Shukran mkuu kwakweli imenivutia nitaitafutia mda niichkSnowpiecer... Moja ya series nzuri sana
Inahusu maisha ya baadae kunatokea na baridi kali duniani, hivyo kufanya watu kukosa makazi ya kuishi,wakati baridi kali hilo linatokea kunatokea na Train moja kubwa sana ambayo inazunguka dunia, so ili ujisalimishe na baridi hiko inakubidi upande hiyo Train inayozunguka duniani, na ndani ya Train hiyo kuna classes za maisha, kuna low life, medium hadi high life ndani ya hiyo hiyo Train...
Wakati Train hiyo ikiendelea kuzunguka dunia na baridi likizidi kuwa kali, ndani ya Train hiyo yanaanza kutokea mauji ya watu mbalimbali hivyo inapelekea mmiliki wa Train hiyo ambaye ni mwanamama kutafuta detective wa kuchunguza vifo vya watu hao,,,kwenye hiyo Train detective anapatika kwenye low class...
Hadi sasa mzigo uko na season 1 complete, na season 2 ndio ipo ongoing...
Moja ya series nzuri sana, Hii Snowpiecer miaka ya nyuma huko walishawahi kutoa movie yake nayo inaitwa hivyo hivyo Snowpiecer ya Christ Evans!!
Walishai-cancel hiyo, tena waliniboa sana.Wakuu naombeni kujua mwny kuifatilia the SIX mimi nimeishia season 2
Mzigo mkali sana huu nimecheki series zaidi ya 209 nilikuawa sina cha kuangalia nikaitafuta hii ikanifaa zaidi nikiamliza Nina arosto na breaking bad nataka kuirudia now sina cha kuchekiSnowpiecer... Moja ya series nzuri sana
Inahusu maisha ya baadae kunatokea na baridi kali duniani, hivyo kufanya watu kukosa makazi ya kuishi,wakati baridi kali hilo linatokea kunatokea na Train moja kubwa sana ambayo inazunguka dunia, so ili ujisalimishe na baridi hiko inakubidi upande hiyo Train inayozunguka duniani, na ndani ya Train hiyo kuna classes za maisha, kuna low life, medium hadi high life ndani ya hiyo hiyo Train...
Wakati Train hiyo ikiendelea kuzunguka dunia na baridi likizidi kuwa kali, ndani ya Train hiyo yanaanza kutokea mauji ya watu mbalimbali hivyo inapelekea mmiliki wa Train hiyo ambaye ni mwanamama kutafuta detective wa kuchunguza vifo vya watu hao,,,kwenye hiyo Train detective anapatika kwenye low class...
Hadi sasa mzigo uko na season 1 complete, na season 2 ndio ipo ongoing...
Moja ya series nzuri sana, Hii Snowpiecer miaka ya nyuma huko walishawahi kutoa movie yake nayo inaitwa hivyo hivyo Snowpiecer ya Christ Evans!!
Hii breaking bad naitafutia time niichk coz inasifiwa mnoo, hadi unataka kuirudia mzeeMzigo mkali sana huu nimecheki series zaidi ya 209 nilikuawa sina cha kuangalia nikaitafuta hii ikanifaa zaidi nikiamliza Nina arosto na breaking bad nataka kuirudia now sina cha kucheki

Ok poa mkuuHaa Shukran mkuu kwakweli imenivutia nitaitafutia mda niichk
Kweli mkuuMzigo mkali sana huu nimecheki series zaidi ya 209 nilikuawa sina cha kuangalia nikaitafuta hii ikanifaa zaidi nikiamliza Nina arosto na breaking bad nataka kuirudia now sina cha kucheki
Nina vlc ila haina hyo vlsub unaiadd vp mkuu.
Ubarikiwe mkuu, mimi pia ni mhanga na subtitle![]()
VLC: How to Download Subtitles Using VLSub | Unixmen
VLSub is an extension for vlc that searches and downloads subtitles from opensubtitles.org using the hash of the video currently playing or its title.www.unixmen.com
Simple sanaView attachment 1692709
Mkuu hii ni kwa tunaoangalia kwa phone au ni pc![]()
VLC: How to Download Subtitles Using VLSub | Unixmen
VLSub is an extension for vlc that searches and downloads subtitles from opensubtitles.org using the hash of the video currently playing or its title.www.unixmen.com
Simple sanaView attachment 1692709
Daah series nzuri sana.Waliishia hiyo hiyo season 2