Series (Special thread)

Series (Special thread)

Nimeipata playstore mkuu ila namna ya kusachi movie ndo changamoto, naona kama hakuna option kama hyo
Ingia kwenye hii search ingine yao 13377.xto Google halafu unafungua kuna option za movies, series, documentary, fungua hapo una click movie hiyo au series halafu itaenda moja kwa moja kweny utorrent
 
Sikiliza wewe series ulizia inahusu nini then nenda youtube kaangalie trailer lake sio kusikia maneno ya mtu humu coz the blacklist ni bonge la series wewe download episodes angalia inakufaa au la maana hakuna series ina story kali kuliko zingine maana kila series ina story tofauti so ukiona mtu humu au popote anakwambia hakuna series kali kama sijui 24 au game of thrones uyo si muangaliaji series bali ni Mpenzi wa iyo series so anataka kukuaminisha na wewe uwe Ivo Ivo kama mwanaume au mwanamke anayeamini huyu Mpenzi wake ni mzuri wakati hajawaonja hao wengine.
So kila mtu ana vitu anavitaka viwepo kwenye series hapo ndo ikawekwa kitu kinaitwa Genres ili kila mtu aangalie akipendacho.
So ukiona mtu anakwambia hii series ni mbaya au msemo wa humu hii series imepooza muulize kilichopooza au ubaya wa iyo series ni nini? Utaona anatoa sababu ambazo hazina mashiko na kwa hili kuna watu wamebadilika humu wengine wapo vilevile so huwezi badilisha watu wote
Poa poa nimekuelewa sana mkuu.
 
Mwanangu unafanya kazi voda au tigo au airtel au halotel ..maana unashusha vitu vya gb za kutosha, umetisha mzee hapo kwenye gangs of London London babako hutojuta huo mzigo ji balaa na nusu.
Aah hapo ilikua halotel night pack mzee kabla hawajaanza kutufanyia undava

Hii gangs of london nimeiweka kiporo kwanza kutokana na kuto kamilika kwake so stimu inaweza ikachanganya halafu mzigo ukawa unakuja kwa kudevela

saizi niko homeland season 04 nikitoka hapo nakuja na hii gangs of london
 
Utaamua mwenyewe kama utaona bado inakuvutia au vipi. Kwani hujawahi kuangalia series ikakuboa ukaachana nayo tu iendelee na wewe unaendelee na mambo mengine
Aina noma mkuu..ngoja weekend hii niitafutie mda nicheki
 
Aah hapo ilikua halotel night pack mzee kabla hawajaanza kutufanyia undava

Hii gangs of london nimeiweka kiporo kwanza kutokana na kuto kamilika kwake so stimu inaweza ikachanganya halafu mzigo ukawa unakuja kwa kudevela

saizi niko homeland season 04 nikitoka hapo nakuja na hii gangs of london
Hii homeland imekaaje mkuu, mzigo unahusu nini? Nataka niishuhe..
Gangs of London ni balaa na nusu mkuu ..hutojuta kabisa
 
Aah hapo ilikua halotel night pack mzee kabla hawajaanza kutufanyia undava

Hii gangs of london nimeiweka kiporo kwanza kutokana na kuto kamilika kwake so stimu inaweza ikachanganya halafu mzigo ukawa unakuja kwa kudevela

saizi niko homeland season 04 nikitoka hapo nakuja na hii gangs of london

Mkuu, kumbe Halotel night pack imeminywa hatimaye, nilikuwa sijui. Dah..ile ilikuwa ndiyo mkombodhi wangu. Dooh!
 
Ingia kwenye hii search ingine yao 13377.xto Google halafu unafungua kuna option za movies, series, documentary, fungua hapo una click movie hiyo au series halafu itaenda moja kwa moja kweny utorrent
Shukran mkuu, wacha nijaribu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom