Series (Special thread)

Series (Special thread)

Nashuja Vikings.

Nimeambiwa sitajutia muda wangu.

Wacha nione
JPEG_20210125_133214_889153674151382068.jpg
 
Nashuja Vikings.

Nimeambiwa sitajutia muda wangu.

Wacha nioneView attachment 1685801
Da mnaotumia pc mna raha kweli kweli kwenye masuala ya series, season tatu zote unashusha kwa pamoja wakt sie wa simu ni mwendo wa episode kwa episode tu. Au kuna way na mie wa simu kuweza kupakua full season kama hvi?
 
Ndio. Tumia uTorrent

Muhimu simu iwe na storage ya kutosha
Screenshot_2021-01-25-16-41-45-15.jpg
 
Da mnaotumia pc mna raha kweli kweli kwenye masuala ya series, season tatu zote unashusha kwa pamoja wakt sie wa simu ni mwendo wa episode kwa episode tu. Au kuna way na mie wa simu kuweza kupakua full season kama hvi?
Ndio inawezekana

Mara nyingi mimi huwa nadownload kwa sim halaf naziamisha kwa pc

Chamsing ni kuwa na torrent then ingia 1337x search hapo series complete unayoitaka utaipata
 
Mfano hii link ya Vikings umewekewa Season zote 6 tena complete

Ndio inawezekana

Mara nyingi mimi huwa nadownload kwa sim halaf naziamisha kwa pc

Chamsing ni kuwa na torrent then ingia 1337x search hapo series complete unayoitaka utaipata
Unajapo kapicha ka demo mkuu?? Au ka video kenye maelekezo? Torrent nimeipakua playstore ila namna ya kusachi hizo series au movie ndio issue sion hyo option.
 
Pic ya 1, unaingia chrome or browser yyt ile then unasearch 1337X au site nyingine ya torrent
Hapo ukishasearch utachagua kama ni movies,tv show,application na vinginevyo
Mimi nilichagua television(tv show)
Pic ya 2. Ni series zilizotoka leo,mimi nikachagua the good doctor
Pic ya 3, unaifungua hiyo series yako ili uidownload, kuna option zinakuja hapo unachagua option unayotaka
Mimi huwa napendelea magnet download

Ukiclick hiyo magnet download itakuja option ya utorrent ili uweze kudownload
Ndio pic ya mwisho hiyo

So unachagua utorrent baada ya hapo itajifungua na kuanza kudownload
View attachment 1686490View attachment 1686492View attachment 1686491
IMG_20210126_105647.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom