king kaka1999
Member
- Dec 31, 2020
- 10
- 7
poa kaka ngoja ntaichekiMshkaji mmoja aliingia France na dingi yake wakitokea Senegal. Dingi yake akawa chaffauer wa mzee mmoja hivi Don. Huyu mzee alikua anamiliki necklace flan yenye thamani ya mamilioni ya pesa, akajamframe dingi yake mshkaji Kama ameiiba, mzee akafungwa jela halafu kule jela akajinyonga Ila kabla alimwambia mwanae kwamba Hana hatia. 25yrs late kwamba Assane Bubakar Diop anatafuta justice kwa kile walimfanyia dingi yake. Jamaa Ni genius hatari
