Baharia mweuc
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 654
- 769
Ipo vizuri hii nimecheka jana episodes 2 tu nikaipa heshima yake kwa kuwa na story nzuriNO MAN'S LAND
Ipo vizuri hii nimecheka jana episodes 2 tu nikaipa heshima yake kwa kuwa na story nzuriNO MAN'S LAND
Mimi niliipenda sijui wewe.For life iko vizuri? Huwa naikwepa
Kali inastory nzuri sana ila sijapata taarifa kama kutakua na season 2Ipo vizuri hii nimecheka jana episodes 2 tu nikaipa heshima yake kwa kuwa na story nzuri
Ungekua unatumia Bitcomet ningekupa codeHapana ni Utorrent
Ni nzuri tatizo ma executive writers bwana Harry and Jack Williams wamesema hakutakua na season 2 hivyo kuingalia na kukatishwa utamu inaboa. Ni nzuri, Kate Beckinsale ndio first role yake kwenye seriesHalafu kuna chuma kinaitwa the Widow ..inazungumzia mwanamke mmoja kutoka Scotland anaenda kumtafuta mumewe Congo uko anakutana na kisanga ..kumbe mwishowe anakuja kugundua mumewe kaoa toto la kitutsi dah...anarudi kwao Scot kwa uchungu mzito aise ..ila ni bonge ya series ..huko kuna unyama wa kutosha mzee..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Dah ni bonge la series mkuu ..sasa kwanini wamekatisha? Sema ilivyoisha muendelezo wake ni kazi kweli kweli..Ni nzuri tatizo ma executive writers bwana Harry and Jack Williams wamesema hakutakua na season 2 hivyo kuingalia na kukatishwa utamu inaboa. Ni nzuri, Kate Beckinsale ndio first role yake kwenye series
Wenyewe walidai waliridhishwa tu na mwisho wa season one so hawana mipango tena ya kuiendelezaDah ni bonge la series mkuu ..sasa kwanini wamekatisha? Sema ilivyoisha muendelezo wake ni kazi kweli kweli..
Saints and sinners season 1,link yake hiyo hapo.. Zilizobakia utakuwa unazi search kama hiyo ya kwanzaWakuu hamjambo,natafuta hizi series,
The haves and the have nots,hii nimeicheki mpaka episode ya 10,msimu wa Kwanza,njia ya kutafuta episodes zingine zimegoma kabisa.
Nyingine ni saints and sinners,hii nimeshindwa kuipakuwa kabisa,
Inakaa muda mrefu kwenye bittorrent bila kuanza upakuaji,
Msaada tafadhali.
Ni li kali??Kuna hili dude linaitwa Yellowstone ni balaa, starring Kevin Costner .View attachment 1681986
Ni kweli ..ilivoisha ni kama haitoendelea tena.Wenyewe walidai waliridhishwa tu na mwisho wa season one so hawana mipango tena ya kuiendeleza
Hii ni balaa kama the Sopranos vile.Ipo season 1 mpaka 3Ni li kali??
unadownlod na kucheki onlineMkuu hko unaweza kuchk online au ni kudowload tu
Effects za corona izo zinaendelea kutunyima vitu vizuriKali inastory nzuri sana ila sijapata taarifa kama kutakua na season 2
The haves and the have nots nenda telegram maana series za perry ngumu kuzishusha kupitia torrentWakuu hamjambo,natafuta hizi series,
The haves and the have nots,hii nimeicheki mpaka episode ya 10,msimu wa Kwanza,njia ya kutafuta episodes zingine zimegoma kabisa.
Nyingine ni saints and sinners,hii nimeshindwa kuipakuwa kabisa,
Inakaa muda mrefu kwenye bittorrent bila kuanza upakuaji,
Msaada tafadhali.
Yes nimecheki mzigo upo vizur hauchoshi, umechangamka sana ,story pia imekaa vizurKuna mzigo unaitwa lupin uko episode 5 mpaka sasa zingine 5 bado haijajulikana lini zitatolewa
Uko poa sana
Ngoja niishuhe hapaHii ni balaa kama the Sopranos vile.Ipo season 1 mpaka 3