sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,645
- 8,735
Ahaa hapo sawa maana kuna mdau alisema huko juu kitu tayari kumbe hola!Season 2 bado haijatoka sema wametangaza itatoka February
Ahaa hapo sawa maana kuna mdau alisema huko juu kitu tayari kumbe hola!Season 2 bado haijatoka sema wametangaza itatoka February
The oval season 2.. Kitu kipo hewani... Drama bora kuwahi kutokea
Wametoa lin???Tatizo ni ushoga tu humo ndani dah
Utaamua mwenyewe kama utaona bado inakuvutia au vipi. Kwani hujawahi kuangalia series ikakuboa ukaachana nayo tu iendelee na wewe unaendelee na mambo mengine


ImetokaHuyo alie sema the oval wametoa session ya 2 mbona bado wahenga???
Mbona mie naitafuta kwa O2TvSeriesImetoka
Vip money heist??? Yenyewe linThe Oval season 2,,inaanza kutoka rasmi February 16...
AprilVip money heist??? Yenyewe lin
MjombaaaaaaaaThe Oval season 2,,inaanza kutoka rasmi February 16...
Inahusu nn mkuu, tupe hints kdgKuna season inaitwa snowpiercer season 1 na 2 imetoka Soon ni nzuri sana. Itafuteni.
The oval season 2.. Kitu kipo hewani... Drama bora kuwahi kutokea
Ni series nzuri sana sema wanakera na mambo yao ya ushogaSafi sanaa ni series ambayo sipendi ikatishwe
Kwani umelazimishwa kuangalia!?Ni series nzuri sana sema wanakera na mambo yao ya ushoga
You are too young to either understand what I meanor what they mean to put those issues.Kwani umelazimishwa kuangalia!?
Yaah! Ubaya hakuna series isiyokuwa na ushoga mzee so wewe wakianza kushikana peleka mbele maana aim yao wewe na mashoga wenzao waone ni kitu Cha kawaida ila sio jambo la kawaida kwangu na series ambazo hazina huo ujinga ni chache Sana ikiwemo blacklistNi series nzuri sana sema wanakera na mambo yao ya ushoga