Series (Special thread)

Series (Special thread)

Pic ya 1, unaingia chrome or browser yyt ile then unasearch 1337X au site nyingine ya torrent
Hapo ukishasearch utachagua kama ni movies,tv show,application na vinginevyo
Mimi nilichagua television(tv show)
Pic ya 2. Ni series zilizotoka leo,mimi nikachagua the good doctor
Pic ya 3, unaifungua hiyo series yako ili uidownload, kuna option zinakuja hapo unachagua option unayotaka
Mimi huwa napendelea magnet download

Ukiclick hiyo magnet download itakuja option ya utorrent ili uweze kudownload
Ndio pic ya mwisho hiyo

So unachagua utorrent baada ya hapo itajifungua na kuanza kudownload
View attachment 1686490View attachment 1686492View attachment 1686491View attachment 1686493
Loo Asante sana mkuu nimepata mwanga sasa, naamini umesaidia na wengine waliokuwa na changamoto kama yangu, Shukran mkuu.
 
Ingia hapo chagua movie unayoitaka download link zipo 720,1080p ukimaliza kuishusha hiyo link just click itakuuliza wapi unataka kupitia kushusha movie, ytorrent au browsernyingine ni simple sana

Iko poa mkuu, Shukran sana.
 
Ingia hapo chagua movie unayoitaka download link zipo 720,1080p ukimaliza kuishusha hiyo link just click itakuuliza wapi unataka kupitia kushusha movie, ytorrent au browsernyingine ni simple sana

Mkuu nikiclick kwenye either 720 or whatever, haimalizi ata sekunde tano kimshale kinachotokea juu ya simu kinaonesha kimeshamaliza yaan complete download bt ukifungua hamna kitu
 
Inakuja hvi
Screenshot_20210127-072415.jpg
 
Vipi niishushe mkuu?
Sijui wewe unapenda series za aina gani ila iyo inahusu Baba na mwanaye wanatoka zao senegal kuja france na mzee anapata kazi kwa tajiri ambaye baadae anambambikia kesi ya kuipa cheni na kumforce akili kosa akiwa mahabusu ila katika kumlea mwanae alimpatia kitabu cha Arsene Lupin kinachohusu kufanya mipango au wizi wa jambo kwa akili so mwanae anakisoma iko kitabu na kuwa mwizi mtaani ila bado anataka kujua nini kilitokea baba yake kukamatwa so unafanyika mnada wa iyo cheni maarufu France so anapanga njama za kuiba huo mkufu kwenye mnada na hapo ndio sakata la kujua utata wa kesi ya baba yake unaanzia hapo
 
Yaani umo umo aisee ngoja niishushe fastaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom