Series (Special thread)

Series (Special thread)

Halafu kuna chuma kinaitwa the Widow ..inazungumzia mwanamke mmoja kutoka Scotland anaenda kumtafuta mumewe Congo uko anakutana na kisanga ..kumbe mwishowe anakuja kugundua mumewe kaoa toto la kitutsi dah...anarudi kwao Scot kwa uchungu mzito aise ..ila ni bonge ya series ..huko kuna unyama wa kutosha mzee..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Wadau kwa yeyote anayejua App nzuri ya kudowload series za kikorea kwa kutumia simu (smartphone) anijulishe pls
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom