curtis jr2
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 770
- 4,588
Haka kajamaa bwana utapenda ngoja tusubiri tu muendelezo.
Unahusu nini mkuuZerozerozero
Mzigo uko vizuriView attachment 1652484
watu gan hawaZerozerozero
Mzigo uko vizuriView attachment 1652484
House of card ipo taratibu sana kuielewa du nawe uwe taratibu nipo ep 3 ila bado haijachangabya na cjaielewaHouse of cards
Hii kitu imenifanya nianze kuangalia the previous original POWER... Nipo S3 Ghost anarudi kwenye gameHaka kajamaa bwana utapenda ngoja tusubiri tu muendelezo.View attachment 1652361
Shipment ya cocaine Kati ya ulaya na marekani humo ndani Kuna ofisa wa jeshi ameamua aanzishe jeshi lake la madawa ya kulevyawatu gan hawa
Mkuu usingeitaja humu nilikuwa sina habari nayo ila nimeivulia kofia. Hebu leta nyingine msimu huu wa sikukuu mapumzikoni unacheki episode moja mojaGangs of London ni balaa na nusu..
English Series :
Into the Badlands ~
Prison break ~ Season 1 - 6 (finished) season 7 loading.....
Timeless ~Season 1 (Cancelled)
Spartacus ~ Season 1 - 4 (Finished)
The Flash ~Season 1 - 2 (Cancelled)
Arrow ~Season 1 - 5 (Cancelled)
Raised by wolves ~ Season 1 (Episode 10
Under the Dome ~ Season3 Episode 13(Season 3 Episode final 13 )
The 100 ~ Season 7 (Episode 16
Manfiest ~Season 2 ( Episode 13
Helstrom ~ Season 1( Episode 6 ........
Powe Book 2 - Ghost~ Season 1(Episode¹-⁵)
Lock & Key~ Season 1 ( Episode 1 - 10 )......
Money Heist~ Season 1 - 4
The Mandaloria~ Season 2 (Episode 1 - 3)....
Taken ~Season 1 - 2 (Cancelled)
24 ~ Season 1 - 9 (Finished)
Vampires Diaries ~Season 1 - 3 .......
Walking Dead Season 1 - 5 .........
No Man's Land Season 1 (Episode 1- 8)
Next ~ Season 1 (Episode 1 - 3)
muntYes, Bwana Chenzo huwa ananiacha hoi sana, ila bonge la genius

jitu la miraba minneI recommend this dude! Zerozerozero ipo vzr Sana!Shipment ya cocaine Kati ya ulaya na marekani humo ndani Kuna ofisa wa jeshi ameamua aanzishe jeshi lake la madawa ya kulevya
Trailer
I recommend this dude! Zerozerozero ipo vzr Sana!
TV series!Movie au Tv series?
Imeisha au ndo imetoka!?TV series!