Series (Special thread)

Ndo ninayotumia, wananambia no subtitles while nshashusha mzigo
Unafungua episode ya kwanza while ina play unaclick 3dots juu ya player,unakuta option ya subtitle Kama inavyoonekana kwenye picha ya kwanza

Ukisha bonyeza subtitle zitakuja option nyingi, utaclick "online subtitle" Kama picha namba mbili inavyoonesha

Hakikisha kila episode inakua na hiyo title ya series mfano angalia picha ya tatu ndiyo utaweza pata subtitles zake online, then unatick kibox cha "enter your search text"

Ikisearch vizuri utapata popup window ya file la subtitle according to such episode then utaclick kibox utaona kwa chini upande wa kulia utaclick download then ikimaliza itaandika successful download then endelea kuwatch na english subtitle : rejea picha ya nne

20201005_182859.jpg
20201005_182924.jpg
Screenshot_20201005-182645_MX%20Player.jpg
Screenshot_20201005-182714_MX%20Player.jpg
 
Unafungua episode ya kwanza while ina play unaclick 3dots juu ya player,unakuta option ya subtitle Kama inavyoonekana kwenye picha ya kwanza

Ukisha bonyeza subtitle zitakuja option nyingi, utaclick "online subtitle" Kama picha namba mbili inavyoonesha

Hakikisha kila episode inakua na hiyo title ya series mfano angalia picha ya tatu ndiyo utaweza pata subtitles zake online, then unatick kibox cha "enter your search text"

Ikisearch vizuri utapata popup window ya file la subtitle according to such episode then utaclick kibox utaona kwa chini upande wa kulia utaclick download then ikimaliza itaandika successful download then endelea kuwatch na english subtitle : rejea picha ya nne

View attachment 1591320View attachment 1591325View attachment 1591335View attachment 1591348
Asante Sana rafiki. Hii MX player naitumia nadhani ni mwaka wa 3 Sasa. Mf Fauda nimedowload subtitles as u explained.

So hata hii Tehran nadhani Kuna some errors kwenye device yangu. Ngoja nikeep trying. Thanks once again
 
Nimeiangalia iyo The Wire ,niko season 3 saivi

Season 1 niliipenda , 2 sikuipenda walivoingiza wazungu, 3 nayo nzuri baada ya kurudisha manigga ,mishe za String na muuni Avon baada ya kutoka jela

Kiujumla ni nzuri ila sio kwa levo ambayo ilikua inasifiwa humu...ila...sijui...ngoja niendelee kuangalia
 
mtoa mada nomba kujua hio mx player ukidowlid ndio unatumia kutizamia hizo series eeh?
 
Japokuwa sio mm nimeulizwa napenda njibu kama hutojali

Mx player ni video player app ambayo unatumia kuangalia movies and videos ni kama VLC
 
Kuna jamaa mmoja alitoaga link ya grp la telegram la nje kila muv a series inapotoka wanaiweka,nimeitafuta sana kiukweli sijaipata,mwenye nayo plz naiomba
 
Nimeiangalia iyo The Wire ,niko season 3 saivi

Season 1 niliipenda , 2 sikuipenda walivoingiza wazungu, 3 nayo nzuri baada ya kurudisha manigga ,mishe za String na muuni Avon baada ya kutoka jela

Kiujumla ni nzuri ila sio kwa levo ambayo ilikua inasifiwa humu...ila...sijui...ngoja niendelee kuangalia
Hata mimi nimeona ya kawaida sana!
 
Nimeiangalia iyo The Wire ,niko season 3 saivi

Season 1 niliipenda , 2 sikuipenda walivoingiza wazungu, 3 nayo nzuri baada ya kurudisha manigga ,mishe za String na muuni Avon baada ya kutoka jela

Kiujumla ni nzuri ila sio kwa levo ambayo ilikua inasifiwa humu...ila...sijui...ngoja niendelee kuangalia
Itakua umewazoea wakorea wale wa skuiz! Mzee the wire ni Mashine unaiangalia kwa papara itakua
 
The wire imepoa sana!Kila ikitaka kuchanganya inapoa!
Vyanzo mbali mbali vya kuaminika kwenye maswala ya ku rate ubora wa movies na series vinaitaja The Wire ni moja kati ya series bora kabisa duniani

Haijatumia teknolojia kubwa na pia haina zile kimbiza kimbiza lakini inatajwa kwamba stori yake ni ya kipekee kwa jinsi ilivyo angalia uhalifu kwa jicho la kihalifu na kiupolisi achilia mbali casting ya wahusika ni nzuri sana

Binafsi naipenda sana
 
Unafungua episode ya kwanza while ina play unaclick 3dots juu ya player,unakuta option ya subtitle Kama inavyoonekana kwenye picha ya kwanza

Ukisha bonyeza subtitle zitakuja option nyingi, utaclick "online subtitle" Kama picha namba mbili inavyoonesha

Hakikisha kila episode inakua na hiyo title ya series mfano angalia picha ya tatu ndiyo utaweza pata subtitles zake online, then unatick kibox cha "enter your search text"

Ikisearch vizuri utapata popup window ya file la subtitle according to such episode then utaclick kibox utaona kwa chini upande wa kulia utaclick download then ikimaliza itaandika successful download then endelea kuwatch na english subtitle : rejea picha ya nne

View attachment 1591320View attachment 1591325View attachment 1591335View attachment 1591348
Je unakuwa online au watakt unachek ambazo umezishusha tayr
 
jamani wa comedy hamna? nimeishiwa stock

Nimeangalia the office na kuirudia kama mara nne, sillicon valley

Naombeni series za comedy
Kama ni comedy mimi sikomi kuitazama na kuirudia tena na tena TV series ya SHAMELESS Season 1-10 na sasa naisubiria season (11) ya mwisho ambayo ipo kwenye maandalizi soon itaachiwa hewani, japo kuna promotion kubwa ya maubwabwa na usagaji inafanyika humo lakini nimeipenda sana hii kitu.
IMG_20201010_093733_496.JPG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom