Taja hata mshiriki wa hiyo series tucheki google au hiyo series ya nchi gani? au theme yake ni yapi?Nobody ni movie happ nazungumzia series
Inataka kufanana na Ozark sema hii star wake anaua kimaskhara. Kwa walio icheki watakumbuka inaanza jamaa akiwa anausaga mwili kwenye mashine na vipande vya nyama na damu vinarukia baharini.Taja hata mshiriki wa hiyo series tucheki google au hiyo series ya nchi gani? au theme yake ni yapi?
Oya ni Kali sana sema dah! Kwanini usahau Jina basi taja ni ya nchi gani au na Hilo umesahauInataka kufanana na Ozark sema hii star wake anaua kimaskhara. Kwa walio icheki watakumbuka inaanza jamaa akiwa anausaga mwili kwenye mashine na vipande vya nyama na damu vinarukia baharini.
Huo mwili ndio wa bosi ambaye anapaswa ku disappear baada ya yeye kumpa kibano mtu waziwazi. Sasa wakati anapelekwa mafichoni akafia ndani ya buti la gari. Na kizaa zaa kikaanzia hapo kwa sababu magenge yalikuwa yanamtafuta ili aidhibishe barua na mikataba mbali mbali ya kibiashara.
Alicho fanya star wa series hiyo ni kukata kidole gumba na akawa anapitisha mikataba kwa kidole hicho ili kuwaficha members wa hayo magenge wasijue kama boss amesha fariki
Jina inaitwaOya ni Kali sana sema dah! Kwanini usahau Jina basi taja ni ya nchi gani au na Hilo umesahau
Asante sanaJina inaitwa
Murder mindfully
NitaitafutaJina inaitwa
Murder mindfully
Nilikua nimeiweka standby nikisubiri ikamilike nidownloadHouse of the Dragon imekaa kifeministi sana.
UMAMA mwingi sana humu ndani aisee!
Ila naona Kama sio hiyo kwa maelezo ya jamaa muhuaji alikuwa ni muharifu wakati hii ya kwako inasema mhusika ni mwanasheria which in whichAsante sana
Nimecheki kwenye google inasema inaitwa The tourist vipi ni sahihi?Inataka kufanana na Ozark sema hii star wake anaua kimaskhara. Kwa walio icheki watakumbuka inaanza jamaa akiwa anausaga mwili kwenye mashine na vipande vya nyama na damu vinarukia baharini.
Huo mwili ndio wa bosi ambaye anapaswa ku disappear baada ya yeye kumpa kibano mtu waziwazi. Sasa wakati anapelekwa mafichoni akafia ndani ya buti la gari. Na kizaa zaa kikaanzia hapo kwa sababu magenge yalikuwa yanamtafuta ili aidhibishe barua na mikataba mbali mbali ya kibiashara.
Alicho fanya star wa series hiyo ni kukata kidole gumba na akawa anapitisha mikataba kwa kidole hicho ili kuwaficha members wa hayo magenge wasijue kama boss amesha fariki
Henu ngoja nizame deep kuangalie newa releases zote nitaipata tu usiwazeOya ni Kali sana sema dah! Kwanini usahau Jina basi taja ni ya nchi gani au na Hilo umesahau