Series (Special thread)

Ninscience fiction ya viteenager vi 4 vilikuwa vinamaakili sana vikajikuta vinatest mambo ambayo vikagundua dunia ya pili iliyo kama hii ambayo kuna wanasayansi walikuwa wanajifanyia kazi kwa msaada wa kukateka kasichana ambako kana super natural powers wanazozihitaji kufanikisha zoezi Lao
Series za Sci-fi huwa siziachi hivi hivi.. Asante kwa info
 
Dark ni mashine kubwa sana kutoka kwa Wajerumani. Hiyo ngoma nilivyomaliza kuangalia season 1 tu, moja kwa moja nikaiweka katika list ya classic TV series ambazo nimewahi kuzitazama.
Kweli mzee hata mimi naiweka kwenye top 10 zangu aisee maana sijawahi angalia seasons 3 kwa speed niliyoangalia hii
 
KWA WALE WAPENDA SCIFI SERIES,HII HAPA IMESIMAMA

RAISED BY WOLVES

ni ya HBO,usiwaze kabisa kuhusu QUALITY

ENJOY!!!
raised-by-wolves-poster.jpg
hqdefault.jpg

13451_raisedbywolves_624211.jpeg
 
jamani wa comedy hamna? nimeishiwa stock

Nimeangalia the office na kuirudia kama mara nne, sillicon valley

Naombeni series za comedy
Tafuta young sheldon... Na amin utanikumbuka maisha yako yote...

Ukimaliza nenda bing bang theory( muendelezo wa young shedon)... Nayo ukiingalia yote utatamni kukutana na mm
 
Wapenzi wa drama za perry tyler tujuane kabisa...

Kama unapenda drama angalia hizi za perry tyler

1. The oval..
Series inaelezea kuhusu familia ya rais wa marekani ilivyokuwa na maisha vya ovyo ndani ya ikulu ya marekani.. Bonge moja ya drama.. Nakushauri itafute mapema

2. If loving you is wrong
Inaelezea marafiki 5 jinsi maisha yao na misuko suko.. Humu full kusalitiana... Series bora kwanfu kuwahi kuitazama

3. The haves and haves not... Series inaelezea binti wa kimasikini akitafuta utajiri kwa hali na mali kwenye familia ya kitajili

4.Sistas
 
Sistas humu ndani kuna uhalisia wa mahusiano sana bila kukosa comedy za hapa na pale.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom