Series (Special thread)

Wale wapenzi wa series za beef Kati ya waarabu na israel ambao mliofuatilia pia Fauda Basi mzigo mwingine huu unaenda kwa jina la TEHRAN unaonyeshwa na apple tv plus ambao this time ni ujasusi kati ya Israel na Iran.
Madubwana yangu haya! Ngoja nipakue for weekend soup!
 
Wale wapenzi wa series za beef Kati ya waarabu na israel ambao mliofuatilia pia Fauda Basi mzigo mwingine huu unaenda kwa jina la TEHRAN unaonyeshwa na apple tv plus ambao this time ni ujasusi kati ya Israel na Iran.
Baharia tupia link asee naona Telegram bado hapajasoma!
 
MV5BMzI2OTk3ZjctZmNlZC00MGRhLTk2NDctY2YyZmU0NGMyYzliXkEyXkFqcGdeQXVyMjUxNzU1NjA@._V1_.jpg

Mziki huu hapa...twende sawa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom