Series (Special thread)

Nimeiangalia iyo The Wire ,niko season 3 saivi

Season 1 niliipenda , 2 sikuipenda walivoingiza wazungu, 3 nayo nzuri baada ya kurudisha manigga ,mishe za String na muuni Avon baada ya kutoka jela


Kiujumla ni nzuri ila sio kwa levo ambayo ilikua inasifiwa humu...ila...sijui...ngoja niendelee kuangalia
Every season in the wire is very important for the series as a whole.

Ukitaka kuenjoy vyema ..katika the waya jishughughulishe.. follow every character nota just the story.. maana ili upate the idea of the whole story inabidi ungoje season finale...

Lakini huku kote kunakokuboa there is so many stories... Ingekuwa ni hi new age tungekuwa na adaptations nyingi sana... Maana kila character ni story on its own.. rich and fulfilling..

Btw.. season three ndio muunganiko kati ya season two and one unaanza kujengwa ... Its a very rich story.. good luck.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mimi watu wa aina hii naachana nao na kupita bila kuwajibu coz unabishana na mtu ambaye anasifia kitu akipendacho na kuaminisha umma hiki ni kizuri kushinda chote pasipo kujua tv shows zingine zipoje na ukienda kwenye vyanzo vya kuaminika iyo prison break haipo hata top 4 na haina viewers kiivyo watu wanaoifuatilia
Kweli kabisa..

Mfano mie naipenda sana Show Moja inaitwa Sheriff Longmire..

Lakini ukweli The wire na Breaking Bad ni show bora zaidi ya My favorite show.

Shida yetu sisi tuko biased Sana.. ukipenda tu basi hiyo ndio bora... Hisia zinatutawala.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Series zote ambazo wenzio kama wewe wanazisifia

1.Game of thrones
2.24
3.Money heist

Hizi ndizo Bora kwa mujibu wa wenzio lakini kwangu hizo bado naziona ni rubbish ukikompea na Prison break!
Hizo zote ulizotaja ni series zinazotazamika (ukiondoa GOT), lakini haziwezi kuingizwa katika mjadara wa kuzungumzia TV Series/TV Show kali tangu kuanza kwa sanaa ya uigizaji. Endelea kufuatilia/kutazama TV Series/TV Shows, ukishakomaa utakuja kuona kuwa Prison Break ni takataka tu unapokuja katika mjadara wa TV Series bora kuwahi kutengenezwa kwenye sayari ya dunia.
 
😆😆😆😆 Mimi watu wa aina hii naachana nao na kupita bila kuwajibu coz unabishana na mtu ambaye anasifia kitu akipendacho na kuaminisha umma hiki ni kizuri kushinda chote pasipo kujua tv shows zingine zipoje na ukienda kwenye vyanzo vya kuaminika iyo prison break haipo hata top 4 na haina viewers kiivyo watu wanaoifuatilia
Ahahaaah, kuna wakati watu kama hawa tunatakiwa kuwapa "challenge" kidogo Chief.
 
Twendeni na WU Assassin kwanza halaf turuf hapa
Wu assassin kwa upande wangu sio nzuri kwa jinsi wanavyochanganya maisha ya kawaida na maisha mengine ya kama duniani nyingine wangebaki mulemule story ingekuwa tamu. Embu angalia mzigo unaitwa WARRIOR ambao mtoto wa Bruce lee aitwaye Shannon Lee anaamua kuiweka idea ya baba ya kuja kuitengeneza hii series na ipo njema coz director ni jamaa aliyetengeneza baadhi ya movie ya series ya Fast and Furious. So ndo naiona ni moja ya tv shows kali ya mapigano kwa sasa inaendelea season 2 asa hivi kuliko iyo wu assassin
 
Wu assassin kwa upande wangu sio nzuri kwa jinsi wanavyochanganya maisha ya kawaida na maisha mengine ya kama duniani nyingine wangebaki mulemule story ingekuwa tamu. Embu angalia mzigo unaitwa WARRIOR ambao mtoto wa Bruce lee aitwaye Shannon Lee anaamua kuiweka idea ya baba ya kuja kuitengeneza hii series na ipo njema coz director ni jamaa aliyetengeneza baadhi ya movie ya series ya Fast and Furious. So ndo naiona ni moja ya tv shows kali ya mapigano kwa sasa inaendelea season 2 asa hivi kuliko iyo wu assassin
Ngoja niipakue fasta nisi ihukumu kabla sijaiona
 
Hata kama haupendi Series za masuper heroes,huwezi chukia hii:THE BOYS,moja ya series kali kutoka AMAZON
latest

the-boys-1599827224.jpg
tb_262372899219021-2000.jpg
the-boys-season-2-trailer-cast.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom