sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,645
- 8,735
Ni nzuri niitafute?Jack Bauer ana mzigo mwingine upo ongoing sasa hv, na tayal wameshatoa ep 11...unaitwa The Fugitive
Ni nzuri niitafute?Jack Bauer ana mzigo mwingine upo ongoing sasa hv, na tayal wameshatoa ep 11...unaitwa The Fugitive
Yeah, itafute iko poaNi nzuri niitafute?
Okey asante.Yeah, itafute iko poa
Telegram ni easy zaid afu unapata kitu qualityIngia www.o2tvseries.com kisha search hilo jina litakuja
Snowfall nilikua naiona ona naiacha siidownload ila jana nikaamua nishushe episode moja kwanza aisee ! Hapa niko nashusha season zote 3Snowfall ni nzuri sana pia gangs of london sijutiii mb zangu nashuku wote walipendekeza hii kwangu
Kwa maana nyingine, unapenda series zisizo na uhalisia kwa sababu kwenye maisha halisi, iwe kwenye crime or missionary world, maisha hayapo maneno mawili, ngumi 5!!Napenda sana season za Action kama Into the badlands. Nimejaribu kuangalia Season kama ya Into the badlands nimekosa kabisa. Watu wamesifia Breaking Bad, 24, Hanna lakina hazijanivutia kabisa. Story nyingi kuliko ngumi. Banshee kidogo ila story nyingi pamoja na ngono.
Katika Season niliyoielewa mpaka keshokutwa ni INTO THE BADLANDS. Maneno mawili, ngumi zinaanza. Season zingine ni uharibifu wa bundle tu. Kama Hanna, Breaking Bad, 24, na Banshee kwangu ni uharibifu wa bundle tu.
Season gani yenye ngumi kama into the badlands?
Hapana Chifu, kama unamzungumzia Kevin, itakuwa humtendei haki! Kilichomponza Kevin sio tamaa bali kutaka revenge kwa kifo cha ndugu yake! Na kama utakumbuka, mwanzoni alimtolea nje Lucia sasa alikuja kum-mind baada ya kuambiwa Franklin alikuwa anamfahamu muaaji wa ndugu yake lakini akakausha na kudai hamfahamu!!Yeah! Mtoto alikua mkali yule hadi noma.
Kuhusu yule mchizi wao Franklin hkutaka washkaji zake wafe bali wote watoboe sema tamaa tu jamaa ilimponza na Mimi nilikua napenda mbwembwe zake tu mule.
Yule mwenye Afro alichange na kua na roho mbaya balaa.
Telegram ni easy zaid afu unapata kitu quality
Kabisa! Niliwahi kujaribu kudownload mzigo telegram, kwa zile mb mambo yalinishinda.Telegram mb nyingi sana wakati kwenye o2 una kuta kitu kimpo compressed tayari. Hd mp4 unaipata hata Kwa mB 70 tu
Kweli mkuu, revenge ndio iliyomponza Kevin... Kuna kipindi kwenye maisha inabidi uwe na maamuzi magumu kama aliyoyafanya Franklin ili maisha mengine yaendeleeHapana Chifu, kama unamzungumzia Kevin, itakuwa humtendei haki! Kilichomponza Kevin sio tamaa bali kutaka revenge kwa kifo cha ndugu yake! Na kama utakumbuka, mwanzoni alimtolea nje Lucia sasa alikuja kum-mind baada ya kuambiwa Franklin alikuwa anamfahamu muaaji wa ndugu yake lakini akakausha na kudai hamfahamu!!
Of course, ili kuzuia vita ya corner boys kutoka kwa crazy Mexicans, Franklin alikuwa sahihi kutotaka visasi lakini alitakiwa amwambie ukweli mshikaji huku akimsisitizia kuto-revenge kwa wakati ule!
Kuna bandle la usiku halotel 1500 tuu unashusha hata season 2Kabisa! Niliwahi kujaribu kudownload mzigo telegram, kwa zile mb mambo yalinishinda.
Ikabidi nirudi tu o2..
Ndo yenyeweMlioangalia "most dangerous game" kila episode ina dakika 8 au nimekosea kupakua
Iko pouwa sana mkuu hutojutiaSnowfall nilikua naiona ona naiacha siidownload ila jana nikaamua nishushe episode moja kwanza aisee ! Hapa niko nashusha season zote 3